TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

usijaribu kuingilia kazi ya Mungu atakuumbua hadharani mkuu, sheikh Yahya alijaribu ona kilichompata, tar. 25 sept Mtikila alidai CDM ndio waliomuua Wangwe na yeye Mungu Amethibitisha kuwa hakuna wakuchukua nafasi yake.

Mkuu hakuna mungu wa namna hiyo,watu watumie ushetani na kuwamaliza watu anasema mungu ?tumewaona wangapi waliuawa kwa mbinu uchafu za Giza,ukweli utabaki kuwa ukweli,hata mtikila akiondoka duniani,kutoka ikulu ya mungu kwa njia za kumuuliza wapinzani wako sio sawa,
 
Wasije tu wakamfanyia hujuma na rais wetu Magufuli
 
Nitamkumbuka daima mchungaji Christopher Mtikila kama mtanzania mwenye uthubutu wa hali ya juu.Aliyepigania kile alichokiamini kwa nguvu zake zote.

Ni mwanasiasa ambaye alikuwa haishii tu kulalamika bali alichukua hatua za kisheria na mara nyingi alifanikiwa.Mchango wake kwenye kukuza demokrasia nchini hautosahaulika.Yeye kuwa na mapungufu ya hapa na pale ni kithibitisho kuwa alikuwa binadamu wa kawaida.

Mapungufu yake mchungaji hayafuti uthubutu wake wa kupigania mgombea binafsi,katiba mpya na taifa la Tanganyika.Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe....
 
Haha,duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi

Heri wafao kabla ya lowasa kwani wamekufa kwa ajali na ajali haina kinga. Hii ni tofauti na kumuingiza mgonjwa ikulu kwani hilo lina kinga. Ya sababu gani kuendelea kuishi na ugonjwa huku ukipigania kuingia ikulu kwenye mlima wa majukumu badala ya kupigania afya yako? Je siyo kwamba unakimbia ikulu kwa ajili ya kuweka mazingira mazuri ya kulinda mali zako zenye maswali meeeengiiii?
 
Alimuita lowasa mgonjwa na hajiwezi sasa oneni kazi ya Mungu Celina komban+mtikila.
 
sheria ya uchaguz inasemaje uchaguz utafanyika au kuhairishwa nisaidieni watalaam

Mtikila hana uhusiano na uchaguzi hakukolify hakuwa na vigezo hvyo tume ilimuengua Ila kwa sababu kanakwamba alirukwa na akili kalikuwa kanadai jinale litarudishwa ili agombee.
 
Lowassa ni Mjenzi huru, huyu mtu hafai kuwa Rais.

Hahahahaha.....

Je wajenzi huru wana nguvu za kimiujiza za kuweza kuondoa maisha ya mtu?

je wajenzi huru ndio wanapanga Nani awe rais? Sio kitengo.?

Je lowassa ni mjenzi huru?
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa


Amefariki akiongea UKWELI...!!! ni kweli lowassa ni mgonjwa na hafai kugombea hio nafasi, sidhani hata gwaride anaweza kukagua anyways ...Mwenyezi Mungu Amuweke Atakapo stahili.... Tunachochuma duniani ndicho tutakacholipwa akhera ....
 
Wala Siyo Huyu Subiria Ndani Ya Wiki 2 Zijazo UTABIRI Wa Mtoto Wa Shekhe Yahya UTATIMIA. Mchungaji Nae ALIJISAHAU MNO NA KUJUA KUWA YUPO KTK VITA KALI YA KITANZANIA NA KINYARWANDA. Najua Sasa Kuwa Yule BINGWA WA KUFANYA UMAFIA Hapa Tanzania Mgombea Fulani Sasa ATAFANYA MKAKATI KUWA IONEKANE au UVUMI UENEE KUWA Ni MPANGO LABDA ULIOSUKWA Na Serikali Ya Rwanda ILI Tu KUWAHADAA Watanzania ILA Kwa TUNAOMFAHAMU Tokea UMAFIA Wake Kwa Dr. Mwakyembe Na Professor Mwandosya Wala HATUSHANGAI. Mchungaji ALIPASHWA KIPINDI HIKI AWE VERY CAREFUL Na ASIAMINI MTU YOYOTE Na MLIOBOBEA KTK MEDANI Za INTELLIGENCE MTAKUBALIANA Nami KUWA SIKU ZOTE MPANGO OVU WA KUKUDHURU HUPANGWA NA HURATIBIWA NA WATU VERY LOYAL TO YOU BILA YA WEWE KUJIJUA. Ni Mpango Wa MUDA MREFU NA MBINU ZA KIMAFIA ZIMETUMIKA KWA 100%. Na ALIPOKOSEA TU NI PALE ALIPOKUWA ANATOA KASORO PANDE ZOTE MBILI KWA MPIGA PUSHAPU ZA MBINJUKO NA WA KUSHIKWA NA HAJA KUBWA KILA MARA. Kwa MEDANI Za KIJASUSI UKIWA KTK HALI HII KAMWE HUWEZI KUBAKI SALAMA. Mtikila ALIPASHWA AAMUE TU MOJA KWA MOJA ANAKUWA UPANDE GANI HII INGEMUWEKA SALAMA MNO HASA KIUSALAMA ILA NA YEYE ALITANGATANGA SANA KWA UNAFIKI WAKE. HAJAMWONA MWENZAKE JANA TU ALIKUWA NA MUKULU PALE CCBRT? YULE SASA NDIYO MJANJA NA YUPO KTK MIKONO SALAMA. Nyie WANASIASA JIFUNZENI KUJIDHATITI KOTE KOTE PINDI MNAPOAMUA KUINGIA KTK SIASA TENA HIZI ZA KIMAFIA ZA HAPA TANZANIA. Kifo Chake HAKINA TOFAUTI Na Cha CHACHA WANGWE au Cha Princess Dianna KIMAZINGIRA. Maisha YAENDELEE!

Pushups za mbinjuko?ni nani huyo GENTAMYCINE?
 
Last edited by a moderator:
sikujua kumbe mungu wa ukawa ni specialist wa mauaji!!! hana kazi nyingine zaidi ya kuua tuuu?
Dah ccm ni wagumu kuelewa hata watu wa ukawa wakianza kuwaita watu wa ccmmaiti wanaotembea mungu anaweza kuwapa somo na fundisho. Kwa kifupi rufanye siasa za sera na policy. Mambo ya nani mgonjwa atafia ikulu au bungeni. Hiyo kazi tumuachie mungu
 
Serikali ipi? Kama lini au unajitoa ufahamu kutetea huku 7!? Serikali isichunguze hujuma za wazo wazo kama kifo cha Mwangosi, kutekwa na kujeruhiwa Dr Ulimboka, Mabomu kwenye mkutano WA CDM Arusha ndio Leo ikachunguze kifo cha mwanasiasa mufilisi Mtikila tena cha ajali!? Weye unaijuwa serikali ya CCM au unaota mchana kweupe!

Mwangosi ndo sahihi ila mtikila sio sahihi,misukule ya gwajima umeishawapa upofu
 
Nyie mlitaka nani afe wapendwa,mnaingilia mamlaka ya mungu kwa matakwa yenu!
 
nyie badala ya kuangalia mienendo yenu na kuchunga ndimi zenu mnaanzisha propaganda . Mungu adhihakiwi mtaisha wote pumbavu

siasa hatar na hapo bado hajaingia madarakan akiingia ikulu itakuaje si atatutoa kafara wote
 
Back
Top Bottom