Hata fixed deposit unapata pesa nyingi kuliko zile ulizoweka mwanzo kwenye akaunti kadri muda unavyoenda.Sio kweli ukiwa na uhai mrefu utalipwa pesa nyingi kuliko ulizochangia
Mfano mtu alifanya kazi na kuchangia Kwa miaka 10 akastaafu na miaka 60 akaishi miaka 100 pension atalipwa miaka 40 Kila mwezi.Sasa hovi wako wastaafu walistaafu miaka ya 1970 Bado wanalipwa pension kila mwezi ingekuwa walichukua Chao chote saa hii wasingekuwa na kipato Tena
Hupati Kila mwezi tofauti na pensionHata fixed deposit unapata pesa nyingi kuliko zile ulizoweka mwanzo kwenye akaunti kadri muda unavyoenda.
Wewe mbona unatetea sana huo ujinga? Kwani kabla ya hiyo 33% walikuwa wanatumia niniHupati Kila mwezi tofauti na pension
Baadhi ya mifuko kama NSSF na PPF Walikuwa wanatoa asilimia 25 asilimia 75 zinabaki kwaoWewe mbona unatetea sana huo ujinga? Kwani kabla ya hiyo 33% walikuwa wanatumia nini
Aikooooo... Ona Aibu we babaHajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
Wewe ndio hujui 😡Hajui maana ya hifadhi ya jamii. Kachemka. Hifadhi ya Jamii sio Akaunti ya Akiba benki.
Watu wanalalamikia kikokotoo, wewe una leta porojo nyiingi zisizo na maana.Baadhi ya mifuko kama NSSF na PPF Walikuwa wanatoa asilimia 25 asilimia 75 zinabaki kwao
Kwa walioko NSSF na PPF kikotoo kwao Kiko vizuri
Shida ilikuwa serikalini Walikuwa hawachangii chochote kwenye mifuko ya pension Walikuwa hawakatwi ili ikifika kulipwa mafao kikotoo kilitumika cha juu sana mifuko ya kulipa wafanyakazi wa serikali ikakaribia kufiisika ikaamuliwa waanze kuchangia na wao miaka ya 1990 na sababu mifuko mwingine ilikuwa hoi hasa ya serikali ikaonekana Kuna umuhimu yote iunganishwe ibakie mifuko miwili tu ya pension ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.Baada ya kuunganishwa ikabidi kiwepo kikokotoo kimoja Cha wafanyakazi wote wa umma ndio kikaja hicho Cha sasa Kwa upande mmoja kunusuru mfuko kufa.Watu pendion wengine walikuwa wakikaa Hadi miezi sita bila kulipwa pension ya mwezi na hata ya mkupuo walikuwa waweza fuatilia Hadi mwaka ndipo itoke sasa hivi wanalipwa Kwa wakati bila shida
Wasikilize John Heche na John Magufuli piaView attachment 2908689
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Hicho kikotoo ujue humo ndani zimo pesa ambazo sio zako za mwajiri aliyekuchangia za kwako pekee usingeweza kupata pesa ya maana wakisema waturudishie zako tu ulizochanga piga hesabu mwenyewe piga hesabu ya hivyo michango vyako miaka yote halafu chukulia unastaafu Leo utaambulia shilingi ngapi ukiondoa michango ya mwajiriWatu wanalalamikia kikokotoo, wewe una leta porojo nyiingi zisizo na maana.
Kumbe wewe huelewi kitu,nakuacha kama ulivyo tu.Hicho kikotoo ujue humo ndani zimo pesa ambazo sio zako za mwajiri aliyekuchangia za kwako pekee usingeweza kupata pesa ya maana wakisema waturudishie zako tu ulizochanga piga hesabu mwenyewe piga hesabu ya hivyo michango vyako miaka yote halafu chukulia unastaafu Leo utaambulia shilingi ngapi ukiondoa michango ya mwajiri
Kaombe statement ya michango mifuko ya pension utaona ulichongia wewe Hadi Leo jumlisha kama wakiamua wakupe hiyo Yako uone kitakachukuta utaondoka na umaskini
Kipande kile Cha mwajiri kujumlishwa kwenye kikokotoo ni kukusaidia wewe utoke vizuri kama mwajiriwa
Hilo ni debe kabisa halijui hata tunajadili niniKumbe wewe huelewi kitu,nakuacha kama ulivyo tu.
Magufuli ndo aliyepitisha kikokotoo, na kupunguza mifuko ya hifadhi ya jamii.Wasikilize John Heche na John Magufuli piaView attachment 2913621View attachment 2913622
Soma kitu inaitwa "time value of money"Hakuna mahali anapotunziwa mtumishi pesa yake bali serikali inawaibia watumishi pesa zao.Kuna mtumishi amestaafu taasisi fulani na alikuwa mlinzi.basic yake ilikuwa 360,000 malipo ya mkupuo kupewa m8 na anachoingiziwa kila mwezi ni laki moja na nusu tu.
Wewe unaelewa.Sio kweli ukiwa na uhai mrefu utalipwa pesa nyingi kuliko ulizochangia
Mfano mtu alifanya kazi na kuchangia Kwa miaka 10 akastaafu na miaka 60 akaishi miaka 100 pension atalipwa miaka 40 Kila mwezi.Sasa hovi wako wastaafu walistaafu miaka ya 1970 Bado wanalipwa pension kila mwezi ingekuwa walichukua Chao chote saa hii wasingekuwa na kipato Tena
Wa Tz ni watu wa ajabu sana aiseeKikokotoo ni donda sugu. Dr. Samia analitibu hili donda sugu soon kabla ya 2025. Mama anaweza lakini pia linapoozwa makali kwa kutoa madaraja mserereko
HahaaaView attachment 2908689
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama anakashikia ili kasitumia vibaya
Mtu astafu apewe pesa zake zooteHata fixed deposit unapata pesa nyingi kuliko zile ulizoweka mwanzo kwenye akaunti kadri muda unavyoenda.
Sahihi kabisaWewe unaelewa.
Ila wabongo wengi akili zao ni fupi anawaza sasa hivi tu apewe hela ale yote aanze kusumbua watoto, ndugu, marafiki na serikali.