Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

Uwizi wa wakristo hata sikwenda huko kwenye panya road. Rudi kwenye taasisi nyingi za serikali wafanyakazi wengi ni wakristo. Ni wapiga madili mno. Mimi nipo kwenye private naona kinachoendelea. Somehow tumezidi aisee. Pia kumbuka nimesema Yesu anao 7000 wasiopiga goti kwa baali. Ila ni wachache mno. Majority ukikaa vibaya wanakuangusha.
 
Mleta mada ni ostadh/shekh, kwenye jukwaa la international tunamfahamu vyema. Nilitaka kushangaa amewezaje kumtetea mchungaji? Kumbe mchungaji yupo upande wao ktk hili.
 
Ikiwa wito wa kiuchungaji aliokuwa nao umetoka kwa Mungu, na bado Mungu anahitaji kumtumia, hiki ulichosema ndio njia pekee ambayo kimaro anapaswa kuiendea, Kujishusha na kuomba msamaha.
 
Ukijenga imani yako kwa Kristo, wala hutatazama mchungaji, askof n.k ila utautazama msalaba. Wakristo wengi tunaanguka hapa, na wachungaji wengi wanajenga mazingira ya kutaka kuaminiwa zaidi na washirika badala ya kutafuta uadilifu kwa aliyewapa dhamana ya utumishi huo.
 
Unakula bila utaratibu
Huo ni wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…