Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Nani amekwambia CCM inachukuwa kila kilaza? Wewe hata ukilazimisha huwezi kuchukuliwa CCM, IQ yako haitoshi!
Kwa akili yako kati ya Msigwa na yule aliyejirekodi anachezea nyeti za giggy money na kuzirusha mitandaoni nani kilaza? Kama mmempokea mchezea nyeti hadharani na kumwalika kwenye mkutano mkuu ahutubie itakuwaje Msigwa akihamia? Kaeni na huyo Msando ndo wewe umeona ana akili kuzidi Msigwa pumbafff wewe.
 
Mbunge wa Iringa Mjini aliwahi kusema mtu yeyote anayemshabikia Lowassa akapimwe akili. Leo tena anasema aklihama Chadema achomewe Nyumba na Gari.
Kabla hatujamchomea Mali zake atuambie alishapima akili?
 
Mbunge wa Iringa Mjini aliwahi kusema mtu yeyote anayemshabikia Lowassa akapimwe akili. Leo tena anasema aklihama Chadema achomewe Nyumba na Gari.
Kabla hatujamchomea Mali zake atuambie alishapima akili?

Amakweli lowasa anapendwa sana hapa Tanzania kila siku lazima atajwe tu, mbona mafisadi wako wengi ila lowasa ndio yupo kwenye vinywa vya watu kila siku utadhani ufisadi wake ulifanya Tanzania ikose chakula
 
Atimize kwanza lile la kupimwa akili kwa wale wanaomuunga mkono lowasa
 
Bora wamchome yeye, magari na nyumba wazichome moto kwani ndiyo zimemtuma
 
Bora huyu Kasuku kasema akihamia Ccm akiwa na maana anaweza anzisha Chama chake akizinguliwa Chadema.


Mwambieni yule aliyeaapa akihama Chadema wachome nyumba zake aombe Mungu awe pamoja naye.
 


Mkuu wenye Chama wanakucheka tu.

Gizani inafahamika Msando ni Chadema.

Muda utaongea mission ikiwa clear ila ajihadhari mtaka vyote.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…