Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Msigwa,just piece of advice,

usitoe statement kama hizi..........

watu huwa wanafanyaga kwelii....

watu wa kawaida watachoma vitu vyako,udhanie ni adui zako kisiasa,

kuna watu mapsycho,huwa wanaafutaga tu reason ya kufanya jambo baya
Gen Z
 
Wajomba fanyeni kweli tunawategemea anzeni na nyumba kisha mmalizie na Magari, kauli hii isiende bure bila vitendo
 
Magari gani wachome sasa? Msimu mmoja tu nje ya Bunge ubongo ukahamia tumboni, na tumbo likahamia kichwani.
Njaa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ