Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Chadema siyo CCM Mkuu niaminiUtashangaa anakindwa na hawataki asogelewe....siri zote hafi sasa ameshawapa huyu alikuwa mjumbe kamati kuu.....
Ni wajibu wa vyombo kulinda rais wakeUtashangaa anakindwa na hawataki asogelewe....siri zote hafi sasa ameshawapa huyu alikuwa mjumbe kamati kuu.....
Asante Sana The Ice breaker.Usichukue maamuzi ukiwa na hasira,
wala usitoe ahadi ukiwa na furaha,
Yangu ni hayo tu,
kwenu watu wa Daslam 🎤
Mwanao au mdogo si Gen Z waambie walitazame au ulitaka aende nani MkuuGen z ya popote aseti zake zilipo walitazame hili !
Hawajachoma tu?Baada ya purukushani za uchaguzi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kaingia zake CCM. Ila tukumbuke 2017 Msigwa alisema akihamia CCM siku yoyote nyumba na magari yake yachomwe moto.
Vipi huko mmeshaenda kuchoma?
View attachment 3030238
View attachment 3030240
Vijana wa G-z wameenda sheli kununua mafuta ilikazi ianze wanasema kunafoleni kubwaBaada ya purukushani za uchaguzi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kaingia zake CCM. Ila tukumbuke 2017 Msigwa alisema akihamia CCM siku yoyote nyumba na magari yake yachomwe moto.
Vipi huko mmeshaenda kuchoma?
View attachment 3030238
View attachment 3030240
Kila neno lililonenwa kutoka katika kichwa chake lazima litimie....Baada ya purukushani za uchaguzi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kaingia zake CCM. Ila tukumbuke 2017 Msigwa alisema akihamia CCM siku yoyote nyumba na magari yake yachomwe moto.
Vipi huko mmeshaenda kuchoma?
View attachment 3030238
View attachment 3030240