Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

Amin Amin nawaambia kwa uzoefu wangu kama mwalimu niliyejistaafisha,hawa waalimu wanaofundisha private zinazotoa division one darasa zima,ukiichukua staff yote mpaka mkuu wa shule ukawapeleka shule B ya serikali utaambulia zero na div 4 za kutosha.

Sijaona mantiki wala na wala hakuna tija yoyote itakayopatikana kwa kumfanyisha mtihani mwalimu.
Mazingira ya kazi yakoje?Mshahara ukoje?Motisha zikoje?
Hivyo ndio vitu vinafanya shule za serikali kufanya madudu wala sio kwamba waalim walioko huko ni viazi.
Nitawapa mfano hai,shule niliyofundisha katika kipindi changu cha ualimu take home ilikuwa 1.2m unapoanza kazi,nyumba,maji umeme,breakfast,lunch,dinner bure.Kila alama A ina bonus ya 20000, B 10000.
Sasa katika mazingira kama hayo mwalimu anaenda na wanafunzi kiulalo ulalo.Yani unakuta waalimu usiku,jmos wako kazini kuhakikisha cv yake haiharibiki kwa kufelisha.

Sasa mwalimu wa serikali anaweza kufanya hivyo?Mshahara chini ya laki 5 ana stress kibao.Hakuna motisha yoyote ya kumfanya atumie msuli za ziada.Hata tungechukua hao madokta na maprofesa wa hayo masomo huko vyuoni tukawapeleka secondary mwendo ni huo huo wa zero.
 
Mwalimu una kichwa kizito sana.

Unataka umpangie msaili swali la kukuuliza.

Inaonekana darasani ulikuwa unameza na sio kuelewa.

Jitahidi kubadirika kama unataka kupenya PSRS tofauti na hapo utashinda unalalamika sana humu ndani.
Wewe hata la saba sijui kama umefika nahisi namuelewesha mtu wa kusoma na kuandika

Yani ukubali kuulizwa maswali hata ya mathematics na calculation wakati wewe umesoma kiswahili kwa kigezo eti usimpangie msaili ni upuuzi gani huu?

Aisee usifanye elimu kama ushabiki wa mpira wa simba na yanga hebu lete facts tuzijadili sio porojo kama izo unazoleta

Mmekalia kwenye neno "mwalimu" bila kujadili hoja za msingi mwisho wa siku tuna waona kwenye jukwaa la watumishi hata mkionewa hamuezi kusema maana mnamaintain superiority
 
Sijasema mm n kichwa wala hakuna mahali nimesema waliosoma tofauti na ualimu n vichwa, nyie waalimu mnazingua kinoma kwann hamtaki usaili wakati kila kada wanafanyiwa usaili hata nafasi moja kwa watu elfu?
Waweza niambia wapi nimekataa usaili?
 
Amin Amin nawaambia kwa uzoefu wangu kama mwalimu niliyejistaafisha,hawa waalimu wanaofundisha private zinazotoa division one darasa zima,ukiichukua staff yote mpaka mkuu wa shule ukawapeleka shule B ya serikali utaambulia zero na div 4 za kutosha.

Sijaona mantiki wala na wala hakuna tija yoyote itakayopatikana kwa kumfanyisha mtihani mwalimu.
Mazingira ya kazi yakoje?Mshahara ukoje?Motisha zikoje?
Hivyo ndio vitu vinafanya shule za serikali kufanya madudu wala sio kwamba waalim walioko huko ni viazi.
Nitawapa mfano hai,shule niliyofundisha katika kipindi changu cha ualimu take home ilikuwa 1.2m unapoanza kazi,nyumba,maji umeme,breakfast,lunch,dinner bure.Kila alama A ina bonus ya 20000, B 10000.
Sasa katika mazingira kama hayo mwalimu anaenda na wanafunzi kiulalo ulalo.Yani unakuta waalimu usiku,jmos wako kazini kuhakikisha cv yake haiharibiki kwa kufelisha.

Sasa mwalimu wa serikali anaweza kufanya hivyo?Mshahara chini ya laki 5 ana stress kibao.Hakuna motisha yoyote ya kumfanya atumie msuli za ziada.Hata tungechukua hao madokta na maprofesa wa hayo masomo huko vyuoni tukawapeleka secondary mwendo ni huo huo wa zero.
Mkuu, ishu n kwamba waalimu wapo wengi mno kuliko mahitaji, sasa unadhani njia rahisi ya kuwapata wafusika ili waajiriwe n ipi tofauti na usaili?

Usinambie mambo ya zamani walivyokuwa wanachukuliwa kwa mafungu bila utaratibu wa maana mana sio wote wanaomaliza chuo wanajitambua
 
Amin Amin nawaambia kwa uzoefu wangu kama mwalimu niliyejistaafisha,hawa waalimu wanaofundisha private zinazotoa division one darasa zima,ukiichukua staff yote mpaka mkuu wa shule ukawapeleka shule B ya serikali utaambulia zero na div 4 za kutosha.

Sijaona mantiki wala na wala hakuna tija yoyote itakayopatikana kwa kumfanyisha mtihani mwalimu.
Mazingira ya kazi yakoje?Mshahara ukoje?Motisha zikoje?
Hivyo ndio vitu vinafanya shule za serikali kufanya madudu wala sio kwamba waalim walioko huko ni viazi.
Nitawapa mfano hai,shule niliyofundisha katika kipindi changu cha ualimu take home ilikuwa 1.2m unapoanza kazi,nyumba,maji umeme,breakfast,lunch,dinner bure.Kila alama A ina bonus ya 20000, B 10000.
Sasa katika mazingira kama hayo mwalimu anaenda na wanafunzi kiulalo ulalo.Yani unakuta waalimu usiku,jmos wako kazini kuhakikisha cv yake haiharibiki kwa kufelisha.

Sasa mwalimu wa serikali anaweza kufanya hivyo?Mshahara chini ya laki 5 ana stress kibao.Hakuna motisha yoyote ya kumfanya atumie msuli za ziada.Hata tungechukua hao madokta na maprofesa wa hayo masomo huko vyuoni tukawapeleka secondary mwendo ni huo huo wa zero.
Wambie tukisema sisi tunaonekana wakorofi
Ndugu mshahara wa laki 5 Kwa maisha haya itakusaidia nini?
Si Bora tu ukauze matunda mabibo
 
Wewe hata la saba sijui kama umefika nahisi namuelewesha mtu wa kusoma na kuandika

Yani ukubali kuulizwa maswali hata ya mathematics na calculation wakati wewe umesoma kiswahili kwa kigezo eti usimpangie msaili ni upuuzi gani huu?

Aisee usifanye elimu kama ushabiki wa mpira wa simba na yanga hebu lete facts tuzijadili sio porojo kama izo unazoleta

Mmekalia kwenye neno "mwalimu" bila kujadili hoja za msingi mwisho wa siku tuna waona kwenye jukwaa la watumishi hata mkionewa hamuezi kusema maana mnamaintain superiority
Dogo inaneka hii ndio interview yako ya kwanza, Yaani hujawahi fanya interview yoyote hata taasisi binafsi unasikia tu kua kitu kunaitwa interview.

Usaili unaulizwa swali lolote lite mdogo wangu.

Usaili haufanyiwi kupimwa ulichokariri darasani.

Uliza wenzio waliofanya aptitude test mbali mbali ujifunze.

Akili zako ulizonazo utafeli sana interview badirika na penda kujifunza.
 
Bc tulieni endeleeni kula chuma kutoka utumishi.
Huwa sitakagi kuingia mijadala na wewe mkuu leo wewe ndio umeniquote ndio maana nikakujibu

Nakujua una umwamba flani hivi wa kada na kujisifiasifia haliyakuwa mwenye ni jobless na kila siku unalialia kule jukwaani

Huna hoja za msingi zaidi ya kujiona bora na kuwaona walimu ni mazwazwa sijui kwanini huo utumishi unaoufagilia leo hapa kule jukwaani wakesha ukiwalilia?
 
Dogo inaneka hii ndio interview yako ya kwanza, Yaani hujawahi fanya interview yoyote hata taasisi binafsi unasikia tu kua kitu kunaitwa interview.

Usaili unaulizwa swali lolote lite mdogo wangu.

Usaili haufanyiwi kupimwa ulichokariri darasani.

Uliza wenzio waliofanya aptitude test mbali mbali ujifunze.

Akili zako ulizonazo utafeli sana interview badirika na penda kujifunza.
Hivi swali linalosema according to....linapima nini?

Nijibu hilo ili nikuone kama kichwani zipo
 
Peleka maswali yako ndo uulizwe hayo kwenye usahili
Wesailiwa tena unachagua maswali ya kuulizwa?
 
Jibu swali sio unakimbia swali hilo sio swali langu ni swali la utumishi

Wameuliza according to....nawauliza nyie wasomi(maana walimu ni vilaza) hilo swali linapima nini?
 
Usaili unatakiwa kua fair sio usaili MAGOLI YANATANULIWA KWA BAADHI YA WATU.
DOGO ALINAMBIA PALE DUCE HUWA HAKUNA JANJA JANJA.
Mimi nilipata kazi kwa kupitia usaili wa utumishi tena kwa lile nyomi na nilivyokuwa nawaza nilijua sitoboi.Ila katika watu 57 na mimi nilikuwemo.Nilipewa nafasi ya kusikilizwa nilipewa nafasi ya kujibu maswali .Hakuna alieniomba rushwa,hakuna alienipa majibu.Kwa uzoefu wangu jamaa walikuwa fair sana kwa kila mtu.
 
Hivi swali linalosema according to....linapima nini?

Nijibu hilo ili nikuone kama kichwani zipo
Dogo wewe utakandwa sana kwenye hizi saili.

Una kichwa kizito mno na unapenda kubishana.

Ushauri wa mwisho kwako Penda sana kujifunza na kujiongezea maarifa.
 
Jibu swali sio unakimbia swali hilo sio swali langu ni swali la utumishi

Wameuliza according to....nawauliza nyie wasomi(maana walimu ni vilaza) hilo swali linapima nini?
Linapima kama unajua philosophers wakubwa kipi walikiamini?
 
Dogo wewe utakandwa sana kwenye hizi saili.

Una kichwa kizito mno na unapenda kubishana.

Ushauri wa mwisho kwako Penda sana kujifunza na kujiongezea maarifa.
Unakwepa swali jibu swali unasema utumishi hawaulizi maswali ya kukariri nakuuliza utumishi wameuliza swali la according to......

Hili swali linapima nini? Na ni level gani ya cognitive domain katika evaluation?

Jibu kwanza halafu tuje kwenye mada ya kujua mimi na wewe nani dogo
 
Mimi nilipata kazi kwa kupitia usaili wa utumishi tena kwa lile nyomi na nilivyokuwa nawaza nilijua sitoboi.Ila katika watu 57 na mimi nilikuwemo.Nilipewa nafasi ya kusikilizwa nilipewa nafasi ya kujibu maswali .Hakuna alieniomba rushwa,hakuna alienipa majibu.Kwa uzoefu wangu jamaa walikuwa fair sana kwa kila mtu.
Saili zanatakiwa kua fair mtu ashindwe mwenyewe sio kuvujisha pepa na in irregularities kibao ZINAZO lalamikiwa na wadau
 
Back
Top Bottom