Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

Vlad amejifunika shuka na akajamba akidhania anakomoa watu kumbe anajikomoa yeye mwenyewe. Watu wanajua hila zake na wanamshughulikia si siku nyingi ataenda kukutana na Gobachev huko aliyemdharau.
 
Hata bbc swahili leo jion walitangaza hii habar
 
nmeishia katikati nkasema siku hz mkoa unaamua kujitenga na kisha nchi jirani inajipa eneo hilo bila tararibu za kimataifa
 
sasa kipi kilimpa uhalali kuingia nchi isiyo yake ?
 
Juzi Putin aliposema ataka kumaliza vita mapema watu wengi duniani hawakumwelewa isipokuwa China.

Na sasa aja na hii ya kura ya maoni maana tayari alosaini kutambua haya majimbo mwezi February.
 
Kifanyikacho kilitegemewa, ila haitaondoa uhalali wa Ukraine kuendeleza mapambano... Mwisho labda Nukes zitumike
 
Juzi Putin aliposema ataka kumaliza vita mapema watu wengi duniani hawakumwelewa isipokuwa China.

Na sasa aja na hii ya kura ya maoni maana tayari alosaini kutambua haya majimbo mwezi February.
eneo la nchi nyingine haliez kuwa sehem ya nchi nyingine bila idhini ya kimataifa ( umoja wa mataifa )
 
Tayari nimeshaalikwa kwenda kuhesabu kura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Putin mwezi wa pili alideclare kwamba hizo ni nchi huru na akaweka sign kituko kingine anataka Tena wananchi wapige kura hiki ni kituko kingine mbona Putin anakosa kujiamini
We ndio pimbi umeshindwa kuelewa Feb aliyatambua kama mataifa huru kura ya Sasa ni kuyaingiza Russia kama Crimea.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawaelewi naona

Putin akili mingi sana
duh kumbe vilaza ni wengi , kimataifa hilo eneo litaendelea kuwa sehem ya Ukraine , na huyo Putin anaiundia Urusi matatizo ya baadae , Japan ana eneo lake ndan ya Urusi , pia Finland ana eneo lake ndan ya Urusi , pia Ukraine ina eneo ndan ya Urusi , pia Georgia hivo hivo pia Moldova , hiz nchi zimeizunguka Urusi yaweza ikawa miaka hata 1000 ila Putin anaitengenezea Urusi migogoro ya kudumu , Rus kyiev iliangushwa kwa sabab kama hz ilikuwa ikijitanua dhidi ya majirani hivyo uvamiz wa wamongol ulikuwa mwepes sabab alisaidia na Ottoman empire waliokuwa wakadai maeneo yao , pia Poland waliokuwa wameporwa maeneo yao , pia jamii nyingine za jiran ziliwasaidia wamongol kuiangusha Rus kyiev taifa ambalo miaka 1000 baadae halijawai kunyanyuka tena , the same way Putin anaipeleka Urusi walipotokea Rus Kyiev
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…