Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

Kesho state Duma ya Russia wanapiga kura kama iwe full war au iendelee Small operartion kwa msiofahamu ni kuwa putin peke yake ndiye mpole waliobaki kwenye serikali yake ni balaa wanaroho mbaya kupita kiasi sasa kesho ndio wamepewa rungu la kupiga kura na kuamua...
Nilikuwa namsikiliza ex kgb anaeishi USA alikuwa anasema wengi mnamuona putin kama katili ila kuwa Wana mule ndani msiombe wakashika hatamu huyo putin ni cha mtoto.... Hawana huruma hata kidogo
 
We ndio pimbi umeshindwa kuelewa Feb aliyatambua kama mataifa huru kura ya Sasa ni kuyaingiza Russia kama Crimea.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We ndo pimbi anachofanya Putin ni kujifariji mbona Ukraine wanarusha makombora Crimea na hafanyi chochote Crimea si sehemu ya Russia instead ana retreat acha ujinga
 
Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yote
Jipe moyo mwenzako Putin leo rasmi katangaza kuongeza jeshi la akiba, maana ni kwamba hana tena jeshi la kutosha wengi wameliwa vichwa sasa anaokota watu mtaani kuwavisha uniform za kijeshi na wao waende kukiona cha moto kule Donbas Ukrean
 
Vita Ni akili na mbinu alichoplan Putin kimetimia we jiulize kila operation na Russia unapoteza kwanini upambane na.putin ambaye muda wote anawin Vita
Crimea ilichukuliwa
Kharson ,Donna's inaondoka mpaka anakarabati majengo aliyoyavunja kwa mizinga, hao Askari 300,000 wa nyongeza Ni commando wanaohamia hapo na misilaha yao kulinda sehemu mpya za Russia,
Russia tayari Ni kubwa kuliko Taifa lolote duniani 17millions square kilometres, (USA & China ukikombine ndiyo wanaifikia Russia) na bado anaongeza 15% ya ardhi ya Ukraine Tena yenye minerals, ardhi ya rutuba, bandari muhimu na kubwa, maeneo ya viwanda etc (kwa upuuuzi wa zelewsky ) anayetumiaa na USA , na hapa ndio tumegundua Hawa wazungu hawana akili kabisa,
Viva Putin, ukiwa na akili unaweza kufanya lolote na kufanikiwa,
Kasambaratisha uchumi wa Ulaya vibaya mno, kamdhalilisha USA Kwa kushindwa kusaidia Europe etc
Viva Putin, akili mingi Mwenyezi Mungu akupe umri na afya, Alluta continua
 
Aameen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom