Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

MK254 nasubiri comments Zako

Vilianzia Crimea vinaishia Crimea....
 
Mzee baba Putin alitumia nguvu ya kutosha kuhakikisha kwamba analifagilia mbali kabisa jeshi la Ukraine kwenye ardhi ya Donbass na kherson akilenga kuwasaidia raia wanaoishi maeneo hayo ambao wengi wao ni wa asili ya Kirusi.. baada ya kufanikisha hilo hakutaka tena kuendele kutumia nguvu nyingi.. na amerudisha majeshi yake nyuma kulinda mipaka ya maeneo hayo...kwa sasa kilicho amliwa na watu wa Donbass na kherson ni kupiga kura ya maoni ya kujiunga na urusi haraka iwezekanavyo ili wapate kinga ya kudumu kutoka jeshi la Urusi..(tena sio mbali ni ndani ya siku nne zijazo tarehe 23 na 27 Septemba)...baada ya kuungana hii itakuwa na maana kwamba endapo Ukraine na washirika wake wakiivamia Donbass na kherson basi watakuwa wameivamia Jamhuri ya Urusi..

Russia itakuwa ni rahisi sana kutangaza vita vya kuvamiwa kwa taifa lake ili iwe rahisi kuwa mobilize raia wake hatimaye wakubaliane na maamuzi ya serikari ya kutangaza vita dhidi ya uvamizi...kumbuka Urusi alikuwa anafanya operesheni tu na sio Vita....
wengi wanafikiri counteroffensive itaisaidia Ukraine kurudisha majimbo yake kirahisi lakini kwa mitazamo ya sisi warusi wa Manzese( wavaa kobazi) tunomjua vizuri mzee baba the Putin tunawakumbusha wa magharibi wazee wa upinde wa kwa mtogole kuwa hilo wasahau kabisa ardhi ya Donbass imeshapotea hivyo...

NB: Kura ya maoni itafanyika kuanzia tarehe 23 hadi 27 Septemba, kulingana na viongozi wa LPR na DPR

source RT:

Donbass republics reveal date of vote to join Russia

The referendum will take place from 23 to 27 September, according to LPR and DPR leaders

Referendums to join the Russian Federation will be held in the Lugansk and Donetsk People’s Republics (LPR and DPR) from September 23 to 27, the leaders of the states announced on Tuesday.

LPR head Leonid Pasechnik was the first to sign a law on “holding a public referendum in the republic on the inclusion of the region into the Russian Federation,” after its parliament unanimously supported the move and set a date for the vote.

The LPR’s decision was soon followed by DPR leader Denis Pushilin, who declared that his state would also be holding a similar referendum on the same date. Pushilin said he had already introduced the relevant legislation in the DPR’s parliament.

Russia recognised the two territories as independent in February, but most of the world still regards them as part of Ukraine. However, Kiev lost de facto control of both in 2014, when the local populations rejected the outcome of the Western-backed Maidan coup.

In a letter addressed to the Russian President Vladimir Putin, Pushilin urged the latter to consider incorporating the DPR in the territory of the Russian Federation if people approve the unification during the plebiscite.

“The long-suffering people of Donbass deserve to be part of the Great Country, which they have always considered their Motherland. This event will be the restoration of historical justice, the onset of which millions of Russian people crave,” he wrote.

The announcement of the referendum comes after the civic chamber of the LPR urged republic’s leaders on Monday to “immediately” hold a vote on joining Russia, stating that it was important to expedite the process and hold a vote as soon as possible.

“The events of recent days have shown that the Kiev nationalists have crossed all the red lines,” said the deputy head of the chamber, Lina Vokalova, pointing to the relentless shelling of the LPR’s civilian population.

Putin ana shida gani, hata huko Georgia ni hivyo hivyo. Kwanini anasumbua ardhi ya Wenzake. Apigwe tu na kuongezewa vikwazo .
 
Wewe ndiye hujaelewa. Hiyo ni nchi huru na kwasababu ni nchi huru inapiga kura kujiunga na Urusi kama ilivyo kua kwa Zanzibar na Tanganyika.

Acha zako. Nchi huru ndani ya nchi nyingine?. Halafu ni lini Tanganyika au Zanzibar ilipiga kura kuingia Tanzania.
 
Kesho state Duma ya Russia wanapiga kura kama iwe full war au iendelee Small operartion kwa msiofahamu ni kuwa putin peke yake ndiye mpole waliobaki kwenye serikali yake ni balaa wanaroho mbaya kupita kiasi sasa kesho ndio wamepewa rungu la kupiga kura na kuamua...

Mvamie nyie, muwe na Roho mbaya nyie. Fanyeni full war tuone. Mwanzoni ilikuwa Vita Sasa hivi kwa aibu ni operation. Yani Russia anataka kumega nchi zote zinazoizunguka. Ana shida na ardhi ya Georgia Abkhazia.
 
Mvamie nyie, muwe na Roho mbaya nyie. Fanyeni full war tuone. Mwanzoni ilikuwa Vita Sasa hivi kwa aibu ni operation. Yani Russia anataka kumega nchi zote zinazoizunguka. Ana shida na ardhi ya Georgia Abkhazia.
Putin ni adui wa dunia.Atengwe
 
Kumbuka Luhansk leo rami kazi imeanza na kijiji kimoja tayari mikononi mwa Ukrean, wanaume wakitoka Luhansk kazi itamalizia Cremea ndio mwisho wa mapambano hapo tena Russia

Zelensky ana matumaini makubwa by December Ukrean taifa lao linarudi mikononi mwao lotee na dalili ziko wazi Putin tayar ashalegeza baada kichapo alichopata Kharkiv si cha kitoto na bado mizigo inaendelea kutumwa Ukrean kama vile vita inaanza sasa
Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yote
 
Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yote
Mkiwa mnacomment mkumbuke na sisi tunafuatilia hii vita pia japo kupitia vyombo vya habari tu kama nyie.Ingekuwa wamerudisha hayo maeneo yote kule kwa thread mama ya Vita ya Ukraine pasingekalika kwa Pro Russia na majivuno yao.Ukiona wapo kimya ujue mambo ni magumu ndiyo maana mmegeukia kwenye 'referendum' ndiko mmeamua kujifichia huko baada ya major defeat in the past two weeks.
 
Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yote
Nato wanapigana kwa kuvaa uniform za ukraine serious?
walichopeleka NATO ni silaha tu tena nchi chache wanachama ndio wametoa.

Nato hawajapeleka official military soldiers ukraine bado.
Wakianza kupeleka najeshi wao utajua tu.. maama ni combination ya nchi nyingi.

Hiyo kitu eti wanavaa uniform za ukraine ni excuse ya kitoto
 
Sasa kama ni sawa sawa huo ushubwadu wa Russia mashariki mwa Ukraine kwa nini Putin hajakubali kuitambua Kosovo ni nchi huru mpaka leo wakati mchakato wake ulihusisha hadi UN na Mahakama ya kimataifa??
Ni Kama tu Kosovo ilivyojitenga toka Serbia. Na ndio sawa sawa kabisa na hao kujitenga na Ukraine.
 
Usiwaonee wivu wanaopewa vilainishi, hata wewe ukivihitaji unaweza pewa hata kama hupendi misaada.
Mnapenda misaada sana ndio Maana mnapewaga masharti ya kutumia vilainishi ili mpate misaada hio.
 
Wiki iliyopita kiongozi huyo wa Urusi alisema yuko tayari kukutana na rais wa Ukraine, lakini Bw Zelensky hakuwa hivyo.

Alimwambia waziri mkuu wa India anataka kukomesha mapigano "haraka iwezekanavyo".
Putin yuko tayari kumaliza vita nchini yuklein lakini kwa masharti magumu sana ya kuichukua Donbass halafu yuklein wakubaliane nalo... ngumu kumeza!!
 
Back
Top Bottom