Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

Pro NATO amjaelewa nini maana ya icho kitu wenzenu west wamepagwa muda huu awajui itakuaje yani izo Donbass na kherson zikijiunga Russia zinakuwa ni ardhi rasmi ya Russia yani kitendo cha kuishambulia ni sawa na kutangaza vita kamili na Russia ..
Sasa na ww umeandika upumbafu gani hapa...ebu soma ulichoandika uone ulivyo box kichwan
 
Kesho state Duma ya Russia wanapiga kura kama iwe full war au iendelee Small operartion kwa msiofahamu ni kuwa putin peke yake ndiye mpole waliobaki kwenye serikali yake ni balaa wanaroho mbaya kupita kiasi sasa kesho ndio wamepewa rungu la kupiga kura na kuamua...
 
Amechanganyikiwa
Putin mwezi wa pili alideclare kwamba hizo ni nchi huru na akaweka sign kituko kingine anataka Tena wananchi wapige kura hiki ni kituko kingine mbona Putin anakosa kujiamini
 
eneo la nchi nyingine haliez kuwa sehem ya nchi nyingine bila idhini ya kimataifa ( umoja wa mataifa )
Ni Kama tu Kosovo ilivyojitenga toka Serbia. Na ndio sawa sawa kabisa na hao kujitenga na Ukraine.
 
Mnapenda misaada sana ndio Maana mnapewaga masharti ya kutumia vilainishi ili mpate misaada hio.
 
Bora umejitambulisha kabisa wewe ni mvaa kobas ,haya bwana ngoja tuone maana vita siyo mpira,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…