Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Crimea mbona ilipigwa mrus akakaa kimyaPro NATO amjaelewa nini maana ya icho kitu wenzenu west wamepagwa muda huu awajui itakuaje yani izo Donbass na kherson zikijiunga Russia zinakuwa ni ardhi rasmi ya Russia yani kitendo cha kuishambulia ni sawa na kutangaza vita kamili na Russia ..
MK254 nasubiri comments Zako
Itakuwa ngumu kidogo.Hata mkiandika nyuzi 600 per day ukweli utabaki ule ule tu, Donbase is gone. Wakiendelea kujitutumua na kiev itaondoka...
Mzee baba Putin alitumia nguvu ya kutosha kuhakikisha kwamba analifagilia mbali kabisa jeshi la Ukraine kwenye ardhi ya Donbass na kherson akilenga kuwasaidia raia wanaoishi maeneo hayo ambao wengi wao ni wa asili ya Kirusi.. baada ya kufanikisha hilo hakutaka tena kuendele kutumia nguvu nyingi.. na amerudisha majeshi yake nyuma kulinda mipaka ya maeneo hayo...kwa sasa kilicho amliwa na watu wa Donbass na kherson ni kupiga kura ya maoni ya kujiunga na urusi haraka iwezekanavyo ili wapate kinga ya kudumu kutoka jeshi la Urusi..(tena sio mbali ni ndani ya siku nne zijazo tarehe 23 na 27 Septemba)...baada ya kuungana hii itakuwa na maana kwamba endapo Ukraine na washirika wake wakiivamia Donbass na kherson basi watakuwa wameivamia Jamhuri ya Urusi..
Russia itakuwa ni rahisi sana kutangaza vita vya kuvamiwa kwa taifa lake ili iwe rahisi kuwa mobilize raia wake hatimaye wakubaliane na maamuzi ya serikari ya kutangaza vita dhidi ya uvamizi...kumbuka Urusi alikuwa anafanya operesheni tu na sio Vita....
wengi wanafikiri counteroffensive itaisaidia Ukraine kurudisha majimbo yake kirahisi lakini kwa mitazamo ya sisi warusi wa Manzese( wavaa kobazi) tunomjua vizuri mzee baba the Putin tunawakumbusha wa magharibi wazee wa upinde wa kwa mtogole kuwa hilo wasahau kabisa ardhi ya Donbass imeshapotea hivyo...
NB: Kura ya maoni itafanyika kuanzia tarehe 23 hadi 27 Septemba, kulingana na viongozi wa LPR na DPR
source RT:
Donbass republics reveal date of vote to join Russia
The referendum will take place from 23 to 27 September, according to LPR and DPR leaders
Referendums to join the Russian Federation will be held in the Lugansk and Donetsk People’s Republics (LPR and DPR) from September 23 to 27, the leaders of the states announced on Tuesday.
LPR head Leonid Pasechnik was the first to sign a law on “holding a public referendum in the republic on the inclusion of the region into the Russian Federation,” after its parliament unanimously supported the move and set a date for the vote.
The LPR’s decision was soon followed by DPR leader Denis Pushilin, who declared that his state would also be holding a similar referendum on the same date. Pushilin said he had already introduced the relevant legislation in the DPR’s parliament.
Russia recognised the two territories as independent in February, but most of the world still regards them as part of Ukraine. However, Kiev lost de facto control of both in 2014, when the local populations rejected the outcome of the Western-backed Maidan coup.
In a letter addressed to the Russian President Vladimir Putin, Pushilin urged the latter to consider incorporating the DPR in the territory of the Russian Federation if people approve the unification during the plebiscite.
“The long-suffering people of Donbass deserve to be part of the Great Country, which they have always considered their Motherland. This event will be the restoration of historical justice, the onset of which millions of Russian people crave,” he wrote.
The announcement of the referendum comes after the civic chamber of the LPR urged republic’s leaders on Monday to “immediately” hold a vote on joining Russia, stating that it was important to expedite the process and hold a vote as soon as possible.
“The events of recent days have shown that the Kiev nationalists have crossed all the red lines,” said the deputy head of the chamber, Lina Vokalova, pointing to the relentless shelling of the LPR’s civilian population.
Wewe ndiye hujaelewa. Hiyo ni nchi huru na kwasababu ni nchi huru inapiga kura kujiunga na Urusi kama ilivyo kua kwa Zanzibar na Tanganyika.
We ndio pimbi umeshindwa kuelewa Feb aliyatambua kama mataifa huru kura ya Sasa ni kuyaingiza Russia kama Crimea.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kesho state Duma ya Russia wanapiga kura kama iwe full war au iendelee Small operartion kwa msiofahamu ni kuwa putin peke yake ndiye mpole waliobaki kwenye serikali yake ni balaa wanaroho mbaya kupita kiasi sasa kesho ndio wamepewa rungu la kupiga kura na kuamua...
Putin ni adui wa dunia.AtengweMvamie nyie, muwe na Roho mbaya nyie. Fanyeni full war tuone. Mwanzoni ilikuwa Vita Sasa hivi kwa aibu ni operation. Yani Russia anataka kumega nchi zote zinazoizunguka. Ana shida na ardhi ya Georgia Abkhazia.
Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yoteKumbuka Luhansk leo rami kazi imeanza na kijiji kimoja tayari mikononi mwa Ukrean, wanaume wakitoka Luhansk kazi itamalizia Cremea ndio mwisho wa mapambano hapo tena Russia
Zelensky ana matumaini makubwa by December Ukrean taifa lao linarudi mikononi mwao lotee na dalili ziko wazi Putin tayar ashalegeza baada kichapo alichopata Kharkiv si cha kitoto na bado mizigo inaendelea kutumwa Ukrean kama vile vita inaanza sasa
Mkiwa mnacomment mkumbuke na sisi tunafuatilia hii vita pia japo kupitia vyombo vya habari tu kama nyie.Ingekuwa wamerudisha hayo maeneo yote kule kwa thread mama ya Vita ya Ukraine pasingekalika kwa Pro Russia na majivuno yao.Ukiona wapo kimya ujue mambo ni magumu ndiyo maana mmegeukia kwenye 'referendum' ndiko mmeamua kujifichia huko baada ya major defeat in the past two weeks.Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yote
Kulikuwa kuna haja gan kuandika hicho hicho alichoandika mtoa madaMbona maoni Yake yapo ndani ya mada?
Nato wanapigana kwa kuvaa uniform za ukraine serious?Mzee acha kujidanganya hao Nato wanapigana na Russia kwa kuvaa uniform za Ukraine tayari wameonjeshwa moto wa Russia hakuna eneo wamechukua yamerudi kwa Russia yote
Mkiitenga Urusi mtakufa na baridi, petrol haitashuka na hamtakula chapati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Putin ni adui wa dunia.Atengwe
Putin ana shida gani, hata huko Georgia ni hivyo hivyo. Kwanini anasumbua ardhi ya Wenzake. Apigwe tu na kuongezewa vikwazo .
Hata mimi nmememshangaa huyu pimbi kweli Afrika kula ugali unadumaza akili, kwani hana mikono et msaada kichwa chake kimawaza kusaidiwa saidiwaMnapenda misaada sana ndio Maana mnapewaga masharti ya kutumia vilainishi ili mpate misaada hio.
Yeye sio immortal na ukiiangalia sura ya Vlad kwa sasa ni kama imekosa nuru.Pale ambako unadhani Putin Ni Kama Polepole.
Ni Kama tu Kosovo ilivyojitenga toka Serbia. Na ndio sawa sawa kabisa na hao kujitenga na Ukraine.
Mnapenda misaada sana ndio Maana mnapewaga masharti ya kutumia vilainishi ili mpate misaada hio.
Vipi dead brain Biden ambae amefikia mpk hatua anasalimia vivuli yeye hali yake ya kiafya ikoje?Yeye sio immortal na ukiiangalia sura ya Vlad kwa sasa ni kama imekosa nuru.
Putin yuko tayari kumaliza vita nchini yuklein lakini kwa masharti magumu sana ya kuichukua Donbass halafu yuklein wakubaliane nalo... ngumu kumeza!!Wiki iliyopita kiongozi huyo wa Urusi alisema yuko tayari kukutana na rais wa Ukraine, lakini Bw Zelensky hakuwa hivyo.
Alimwambia waziri mkuu wa India anataka kukomesha mapigano "haraka iwezekanavyo".