Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

Jipe moyo mwenzako Putin leo rasmi katangaza kuongeza jeshi la akiba, maana ni kwamba hana tena jeshi la kutosha wengi wameliwa vichwa sasa anaokota watu mtaani kuwavisha uniform za kijeshi na wao waende kukiona cha moto kule Donbas Ukrean
Yule mbabe wa Tik Tok amestaafu baaada ya kwenda na kupiga mapicha yake ya selfie kule Mauripaul na kukimbia na USA walikuwa wanataka wamkamate wampeleke Alaska alivyoshitukia akakimbia na kustaafu
 
Uko ambapo vita vinapiganiwa mpaka tunsongea mpaka sahivi ni mwekezaji gani ataenda kuwekeza acha ujinga umeongea Kana kwamba vita vimeisha
 
Unaposema kimataifa unamaanisha ni USA na allies wake? Umoja wa mataifa ungekuwepo ungeishatatua tatizo la palestina.
 
Uko ambapo vita vinapiganiwa mpaka tunsongea mpaka sahivi ni mwekezaji gani ataenda kuwekeza acha ujinga umeongea Kana kwamba vita vimeisha
Nyie waafrika endeleeni na akili zenu za kuongea tu...tuwaache wawekezaje wenye fund zao waamue wanawekeza wapi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…