Mchakato wa kulitoa meno Bunge ulianza kitambo, haya tunayoona ni matokeo tu ya process

Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
shida macho ya mkuu yanaangalia kwa watu wale wale wakati kuna watu wengi kwenye taasisi ambao wanaweza kusimamia hii nchi vizuri sioni uhalisia katika wizara mtu anatolewa wizara hapa anapelekwa kule kwenye wizara nyingine ,je hii nchi ina watu haohao? Wakati kwenye vyuo wamejaa madactari,maprof na wakufunzi mbalimbali ambao wana maono mapya sioni sababu yakusema unaweka baraza jipya la mawaziri wakati mawaziri ni walewale na wapo kwenye system miaka nenda rudi.....! #Tunahitajimapinduzi
 
Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Wewe ndiyo Ndugai!Unayemtetea ni miongoni mwa walioharibu michakato ya chaguzi za 2019/2020,kulivuruga Bunge na kuumiza upinzani nchini.
CCM ndiyo adui yetu Wanzania na tusikubali tena hadaa,tuiondoe ccm na makandokando yake ili tuiponye Tanzania ya Tanganganyika na Zanzibar.
 
Hawana madhara kwa sasa maana hawashughulikiwi wanashushughulikiwa wenye mbwa sababu hawana uchungu na mbwa wao hata upige vipi mbwa wenye mbwa hawatoki wanajikausha.

Ile mbinu ya mpige mbwa mpaka mwenye mbwa atoke naona wenye mbwa hawana uchungu na mbwa wao.
 
Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Mawaziri walioteuliwa wako saaaaaaaaafi kabisa labda we una matatizo. Jpm ndo aliteua kwa kuangalia ukabila na usu ku.ma
 
Hahaha taga wewe hatari si ulikiwa unashangilia ule uchafuzi?
Huo ndio ukweli huyu naye ni miongoni mwao.Yeyote aliyeshiriki kulihujumu taifa letu hatokuwa salama na ndio wanaomlilia Ndugai.Wote ni zao la batili na alishiriki maamuzi batili kama lile shambulio la area D na yote yaliyofuatia,kuudhofisha upinzani,kuwabeba wabunge 19 hewa nk.
Kwa jinsi Ndugai alivyo hastahili huruma ya Watanzania hata kidogo.
 
Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Mkuu Nyakarungu 2020, wewe na wenzako ndiyo mlikuwa mnatuorodheshea majina ya wabunge ambao hawatarudi bungeni kwa gharama yoyote.
Mliwataja kwa majina baadhi yao:
Zitto.
Mbowe,
Mnyika,
Lema,
Nk.
Bahati mbaya sana Katibu mkuu na Mwenyekiti wenu wa chama wa wakati huo waliyasikia maombi yenu. Walitekeleza.
Leo nyi wenyewe ndiyo mnaolia lia.
Leo bunge halina tofauti na baraza la madiwani la manispaa ya Dodoma.
Vumilia ingawa inauma.
 
Back
Top Bottom