Mchakato wa kulitoa meno Bunge ulianza kitambo, haya tunayoona ni matokeo tu ya process

Tumia akili ukiwa hapa duniani
Nyie Sasa ndiyo mtumie maana wakati wenu hamkutumia akili wapumbavu wakubwa nyie mlifikir mtadumu milele

Mliona wengine ni mbuz tuu sasa tutawanyoosha mbwa nyie
Na hatufanyi kosa tena tumejifunza kutokana na makosa
 
Acha kutumia makalio kufikiri
 
shida macho ya mkuu yanaangalia kwa watu wale wale wakati kuna watu wengi kwenye taasisi ambao wanaweza kusimamia hii nchi vizuri sioni uhalisia katika wizara mtu anatolewa wizara hapa anapelekwa kule kwenye wizara nyingine ,je hii nchi ina watu haohao? Wakati kwenye vyuo wamejaa madactari,maprof na wakufunzi mbalimbali ambao wana maono mapya sioni sababu yakusema unaweka baraza jipya la mawaziri wakati mawaziri ni walewale na wapo kwenye system miaka nenda rudi.....! #Tunahitajimapinduzi
Mawaziri kwa mujibu wa Katiba tuliyonayo ni wanasiasa.
Yakupasa upitie bungeni ili upate uteuzi.
Huwezi kuzoa watu wasio wanasiasa kwa kuwa ni wakufunzi.
Rais anaruhusiwa kuteuwa wabunge wasiozidi kumi, ikimpendeza atawateuwa uwaziri.
Nafasi hizo zimeshajaa.

Tubarishe katiba ili tupate fursa ya kuokota watu wa jalalani wachukue nafasi za wanasiasa.
 
Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Yazoeeni maisha chini ya Samia. Magufuli is gone. Alimkasirisha Mungu kwa wizi wa kura na kupandikiza wabunge wake wa kuja kumpitisha awe Rais wa maisha. Let him rot in hell
 
We mpuuzi usie na akili kaa kimya
 
shida macho ya mkuu yanaangalia kwa watu wale wale wakati kuna watu wengi kwenye taasisi ambao wanaweza kusimamia hii nchi vizuri sioni uhalisia katika wizara mtu anatolewa wizara hapa anapelekwa kule kwenye wizara nyingine ,je hii nchi ina watu haohao? Wakati kwenye vyuo wamejaa madactari,maprof na wakufunzi mbalimbali ambao wana maono mapya sioni sababu yakusema unaweka baraza jipya la mawaziri wakati mawaziri ni walewale na wapo kwenye system miaka nenda rudi.....! #Tunahitajimapinduzi
Maprof kama Kabudi!. Wa jalalani. Muheshimiwa mungu?
 
We zuzu nani asiyekujua hapa jukwaani, baada ya buku 7 kukatika mrija wake unahangaika sana. Ndio maisha yalivyo, pole taga
Teh teh teh....😂😂😂...kweli kila masika ina mbu wake....hawa mataga masika yao ilishapita ila bado wanashupaza shingo.
Wewe ni MATAGA ambae akili huwa zinakuja na kukata kama umeme wa Tanzania😁😁😁
 
Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.

Japo umeileta kinafiki, lakini yule dhalimu aliharibu sana heshima ya box la kura. Na kwa vile CCM imeishiwa ushawishi hiyo ndio itabaki kuwa njia yao kuu ya kubaki madarakani. Sasa hivi mama wa kikojani anachagua wezi wa Msoga line bila hofu, maana hategemei box la kura kukaa madarakani. Enzi za JK CCM walianza kuheshimu wananchi, maana box la kura lilianza kutoa matokeo hatari kwao. Dhalimu kwa kujua ukweli huo, akatumia madaraka yake kunajisi uchaguzi.

Madhara ya ule uhayawani wake mliokuwa mnausifia, ni wananchi kupuuza box la kura, na iwapo CDM wataendelea kususia kushiriki chaguzi, wapiga kura watakuwa wachache kupita maelezo, hapo CCM itaendelea kutawala kihuni maana inajua hakuna wa kuwahoji.
 
Huna lolote zaidi ya chuki dhidi ya hayati JPM. Simamia ukweli penye kweli na penye makosa kusoa.
 
Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.

Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.

Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.

Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Ndiyo madhara ya Bunge kuwa la Chama kimoja! Supika ameondolewa na wana CCM wenyewe!
 
Kusema bunge halina meno ni dhana potofu. Kwani wabunge wanazuiwa kutoa maoni? Wabunge wanazuia kutafuta maendeleo ya wananchi wao?.

Bunge linakosaje meno wakati wabunge hawajazuiliwa kufanya shughuli zao?.
Umeandika utafikiri umekatika kichwa, hata kama ni mahaba sio kwa kiwango chako, kaa chini utafakari utopolo uliouandika.
 
Back
Top Bottom