Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Are you sure?Mkuu Nyakarungu 2020, wewe na wenzako ndiyo mlikuwa mnatuorodheshea majina ya wabunge ambao hawatarudi bungeni kwa gharama yoyote.
Mliwataja kwa majina baadhi yao:
Zitto.
Mbowe,
Mnyika,
Lema,
Nk.
Bahati mbaya sana Katibu mkuu na Mwenyekiti wenu wa chama wa wakati huo waliyasikia maombi yenu. Walitekeleza.
Leo nyi wenyewe ndiyo mnaolia lia.
Leo bunge halina tofauti na baraza la madiwani la manispaa ya Dodoma.
Vumilia ingawa inauma.