Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Are you sure?Mkuu Nyakarungu 2020, wewe na wenzako ndiyo mlikuwa mnatuorodheshea majina ya wabunge ambao hawatarudi bungeni kwa gharama yoyote.
Mliwataja kwa majina baadhi yao:
Zitto.
Mbowe,
Mnyika,
Lema,
Nk.
Bahati mbaya sana Katibu mkuu na Mwenyekiti wenu wa chama wa wakati huo waliyasikia maombi yenu. Walitekeleza.
Leo nyi wenyewe ndiyo mnaolia lia.
Leo bunge halina tofauti na baraza la madiwani la manispaa ya Dodoma.
Vumilia ingawa inauma.
Huyu na @igugunde naona Bia yetu kakimbiaHahaha taga wewe hatari si ulikiwa unashangilia ule uchafuzi?
Mugope Mungu na technologyAre you sure?
Pumbavu kaa kimyaMugope Mungu na technology
Nimekua hapa Kwa miaka 14, nimekutana na Wajinga kama wewe, so relax, huu mchezo hautaki hasira!Pumbavu kaa kimya
........ nge ...? Kiambishi cha kinyonge sana sana mkuu. Kwamba tumekwama kiasi hicho?Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.
Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.
Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.
Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Fafanua......... nge ...? Kiambishi cha kinyonge sana sana mkuu. Kwamba tumekwama kiasi hicho?
Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?
Pumbavu huna akiliNimekua hapa Kwa miaka 14, nimekutana na Wajinga kama wewe, so relax, huu mchezo hautaki hasira!
Taga wewe utopolo lazima utage pumbavuAcha ujinga, weka kumbukumbu sawa.
Fafanua.
Wewe umkatae kwa kigezo kipi hasa? Ukimkataa umchague nani?Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.
Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.
Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.
Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Kwani Rais ana mamlaka ya kumuondoa Spika madarakani? Kwenye barua ya Spika ya kujiuzulu wapi amesema amelazimishwa ama kushinikizwa? Mwenyewe amesema amejiuzuli kwa hiyari yake wewe unamlisha maneno yako.Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.
Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.
Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.
Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Unaona ni kweli kazi ya spika kupigia debe siasa fulani bila kuuliza bunge?? Nani anasema mawazo ya kibinafsi ya spika ni msimamo wa mhimili??Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.
Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.
Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.
Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Use common senseKwani Rais ana mamlaka ya kumuondoa Spika madarakani? Kwenye barua ya Spika ya kujiuzulu wapi amesema amelazimishwa ama kushinikizwa? Mwenyewe amesema amejiuzuli kwa hiyari yake wewe unamlisha maneno yako.
Kwani asingejiuzulu Rais angemlazimisha? Spika siyo waziri useme Rais anaweza kumuondoa wakati wowote.
Huyu jamaa ni mshenzi Sana anafikir hatujui uhuni wake aliokua analeta hapa jfMkuu Nyakarungu 2020, wewe na wenzako ndiyo mlikuwa mnatuorodheshea majina ya wabunge ambao hawatarudi bungeni kwa gharama yoyote.
Mliwataja kwa majina baadhi yao:
Zitto.
Mbowe,
Mnyika,
Lema,
Nk.
Bahati mbaya sana Katibu mkuu na Mwenyekiti wenu wa chama wa wakati huo waliyasikia maombi yenu. Walitekeleza.
Leo nyi wenyewe ndiyo mnaolia lia.
Leo bunge halina tofauti na baraza la madiwani la manispaa ya Dodoma.
Vumilia ingawa inauma.
Leo unamgeuka yule bedui kipenzi chenu!Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.
Tulipaswa kuwa na Bunge lenye mamlaka ambalo nalo lilitakiwa kumkataa rais ambae anatumia madaraka vibaya kuteua mawaziri wenye harufu ya ufisadi.
Rais anakataa kuhojiwa na Bunge bila sababu? Bunge linazidiwa nguvu bila sababu. Hii ni sababu hatuna wabunge wawakilishi wa wananchi.
Aliyeharibu uchaguzi wa 2020 ndio wa kulaumiwa maana Bunge halikuchaguliwa na wananchi na halina meno.
Yes we are sureAre you sure?
Hatutamsamehe Magufuli kamwee kwa hili..Bunge halina meno, Spika anatetea mambo ya msingi lakini anaondolewa madarakani kihuni. Hii sio haki kabisa.