TANZIA Mchambuzi wa siasa na mtangazaji mkongwe Ahmed Rajabu aaga dunia

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za Mashariki ya Kati (Middle East) Mzee Ahamed Rajabu ameaga dunia muda mfupi.

Ahamed Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla

USSR

=

BBC wameandika kuwa Taarifa zilizowafikia hivi punde kutoka chumba chetu cha Habari zinasema mwandishi wa Habari wa gazeti la Africa Event, pia mtangazaji wa zamani wa BBC, bwana Ahmed Rajab amefariki dunia jioni hii huko London, Uingereza.

Taarifa zaidi zinatarajiwa kutolewa baadaye na familia zikiwemo taratibu maziko.

Ahmed Rajab alijiunga na BBC mwazoni mwa miaka ya 1960.
Baada ya kustaafu Ahmed Rajab alikuwa mmoja wa wachambuzi wa kutegemewa wa masuala ya kimataifa wa BBC si chache ziliopita.
Mara ya mwisho alifanya uchambuzi kuhusu mzozo wa Gaza Januari 30 mwaka huu.

Source: BBC swahili
 
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za middle east Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia muda mfupi.

Ahamad Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla

USSR
Aisee! Gwiji hili hapa katika uchambuzi wa siasa za dunia. Uchambuzi wake kwenye meza ya duara DW nitau_miss sana. Ametangulia nasi tuko njiani. Pole kwa Ndugu, jamaa, marafiki na wasikilizaji waliopenda kumsikia.
 
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za middle east Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia muda mfupi.

Ahamad Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla

USSR
Kuna yule aliyefanya mahojiano na Kabendera kuhusu kitabu chake kipya juzi kati hapa; ndiye huyo?
 
Pole Kwa familia

Apumzike mahala pema peponi
 
BBC Swahili wanaripoti kuwa mfanyakazi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za mashariki ya kati Mzee Ahamad Rajabu ameaga dunia jioni hii.

Mara ya mwisho alionekana BBC dira ya dunia akichambua kuhusu vita vya ghaza tarehe 31 mwezi wa januari

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…