USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za Mashariki ya Kati (Middle East) Mzee Ahamed Rajabu ameaga dunia muda mfupi.
Ahamed Rajabu alikuwa kinara wa taarifa za mashariki ya kati na dunia kwa ujumla
USSR
=
BBC wameandika kuwa Taarifa zilizowafikia hivi punde kutoka chumba chetu cha Habari zinasema mwandishi wa Habari wa gazeti la Africa Event, pia mtangazaji wa zamani wa BBC, bwana Ahmed Rajab amefariki dunia jioni hii huko London, Uingereza.
Taarifa zaidi zinatarajiwa kutolewa baadaye na familia zikiwemo taratibu maziko.
Ahmed Rajab alijiunga na BBC mwazoni mwa miaka ya 1960.
Baada ya kustaafu Ahmed Rajab alikuwa mmoja wa wachambuzi wa kutegemewa wa masuala ya kimataifa wa BBC si chache ziliopita.
Mara ya mwisho alifanya uchambuzi kuhusu mzozo wa Gaza Januari 30 mwaka huu.
Source: BBC swahili