Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kuna timu yenye shughuli kuliko Yanga hapa nchini!? Kuna timu ambayo kila kitu kwao kinaweza kuwa tukio kubwa kuliko wao? Yes, hata vitu tunavyoviona kama vya kawaida na vyepesi wao huvigeuza kwenda kuwa shughuli kubwa tu!
Ni timu iliyojengwa hivyo kwa miaka mingi ndio maana huwa wana aina fulani ya maisha ambayo huioni kwingine kokote!
Unakumbuka mapokezi ya Airport 2016 walipowatoa Sagrada na kutinga makundi ya Shirikisho? Unakumbuka mapokezi ya Kombe la Mapinduzi 2021? Paredi la Ubingwa? Safari ya Rwanda? Mapokezi ya wachezaji Airport? Ni baadhi tu ya matukio yao ya karibuni na ni maisha yao.
Nini Matokeo yake?
Kuna 'bond' kubwa sana baina ya timu na watu wao. Kuna kuaminiana sana baina ya mashabiki, uongozi na wachezaji wao. Ndio maana hata wangepitia msoto mkubwa kiasi gani wachezaji wao wanaweza kuzidiwa Quality ila sio upambanaji.