Mchambuzi: Yanga inaishi Kijima kwenye nyakati za Kibepari

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kuna timu yenye shughuli kuliko Yanga hapa nchini!? Kuna timu ambayo kila kitu kwao kinaweza kuwa tukio kubwa kuliko wao? Yes, hata vitu tunavyoviona kama vya kawaida na vyepesi wao huvigeuza kwenda kuwa shughuli kubwa tu!

Ni timu iliyojengwa hivyo kwa miaka mingi ndio maana huwa wana aina fulani ya maisha ambayo huioni kwingine kokote!

Unakumbuka mapokezi ya Airport 2016 walipowatoa Sagrada na kutinga makundi ya Shirikisho? Unakumbuka mapokezi ya Kombe la Mapinduzi 2021? Paredi la Ubingwa? Safari ya Rwanda? Mapokezi ya wachezaji Airport? Ni baadhi tu ya matukio yao ya karibuni na ni maisha yao.

Nini Matokeo yake?

Kuna 'bond' kubwa sana baina ya timu na watu wao. Kuna kuaminiana sana baina ya mashabiki, uongozi na wachezaji wao. Ndio maana hata wangepitia msoto mkubwa kiasi gani wachezaji wao wanaweza kuzidiwa Quality ila sio upambanaji.

1699862795639.jpg
 
Anaendelea......

"Yanga inayotembeza bakuli uwanjani kupata Bukubuku bado ilikuwa inapambana na kushika nafasi 2 za juu Ni spirit yao na maisha yao, Uliona walivyolihandle suala la Fei!? Ni kipenzi chao na alikuwa ndiye tegemeo la timu ila kilichofuata!? Wakaungana fasta kumgeuka!

Wana umoja kwenye nyakati nyingi mno! Kwao kumpoteza mchezaji wao kipenzi ni maisha... Watampiga nongwa weee kisha wataendelea na maisha yao! Si ajabu keshokutwa Fei akarudi pale na wakaishi naye kama hakuna lililowahi kutokea.

Jana wameita siku ya Supu sivyo!? Wamesajili wanachama na mashabiki wengine kuhuisha sajili zao! Wangeweza kuuza hao ng'ombe wa Supu ila wameamua kula na mashabiki wao.

Ni timu inayoishi kijima sana katikati ya nyakati za kibepari! Suala mnaloona ni dogo wao hulifanya kuwa kubwa na la tofauti.

Wakati fulani ni ngumu kuwaelewa ila amini umoja hujengwa na vitu viwili tu duniani! STAREHE na MATESO! Suala la bond hiyo kudumu ni kila mmoja anavyoupalilia upendo huo. Timu yao ina vinasaba vya uswahili/uafrika... Sigara 1 wanaweza kuvuta watu 6 alaf fresh tu!"
 
Kuna timu yenye shughuli kuliko Yanga hapa nchini!? Kuna timu ambayo kila kitu kwao kinaweza kuwa tukio kubwa kuliko wao!? Yes... Hata vitu tunavyoviona kama vya kawaida na vyepesi wao huvigeuza kwenda kuwa shughuli kubwa tu!

Ni timu iliyojengwa hivyo kwa miaka mingi ndio maana huwa wana aina fulani ya maisha ambayo huioni kwingine kokote!

Unakumbuka mapokezi ya Airport 2016 walipowatoa Sagrada na kutinga makundi ya Shirikisho!? Unakumbuka mapokezi ya Kombe la Mapinduzi 2021!? Paredi la Ubingwa!? Safari ya Rwanda!? Mapokezi ya wachezaji Airport!? Ni baadhi tu ya matukio yao ya karibuni na ni maisha yao.

Nini Matokeo yake!?
Kuna 'bond' kubwa sana baina ya timu na watu wao. Kuna kuaminiana sana baina ya mashabiki, uongozi na wachezaji wao. Ndio maana hata wangepitia msoto mkubwa kiasi gani wachezaji wao wanaweza kuzidiwa Quality ila sio upambanaji.

View attachment 2812473
Huyo pichani ndo wewe?
 
Anaendelea......

"Yanga inayotembeza bakuli uwanjani kupata Bukubuku bado ilikuwa inapambana na kushika nafasi 2 za juu Ni spirit yao na maisha yao, Uliona walivyolihandle suala la Fei!? Ni kipenzi chao na alikuwa ndiye tegemeo la timu ila kilichofuata!? Wakaungana fasta kumgeuka!

Wana umoja kwenye nyakati nyingi mno! Kwao kumpoteza mchezaji wao kipenzi ni maisha... Watampiga nongwa weee kisha wataendelea na maisha yao! Si ajabu keshokutwa Fei akarudi pale na wakaishi naye kama hakuna lililowahi kutokea.

Jana wameita siku ya Supu sivyo!? Wamesajili wanachama na mashabiki wengine kuhuisha sajili zao! Wangeweza kuuza hao ng'ombe wa Supu ila wameamua kula na mashabiki wao.

Ni timu inayoishi kijima sana katikati ya nyakati za kibepari! Suala mnaloona ni dogo wao hulifanya kuwa kubwa na la tofauti.

Wakati fulani ni ngumu kuwaelewa ila amini umoja hujengwa na vitu viwili tu duniani! STAREHE na MATESO! Suala la bond hiyo kudumu ni kila mmoja anavyoupalilia upendo huo. Timu yao ina vinasaba vya uswahili/uafrika... Sigara 1 wanaweza kuvuta watu 6 alaf fresh tu!"
Uchambuzi kuntu
 
Ni kweli .. na wamepata na mfadhili na Mwenyekiti Mswahili Ndio imezidisha ... wao Kila kitu ni tukio! Umeona picha za South Afrika ... Unaona kabisa mtu analazimisha apate picha!Ni ushamba lakini Ndio hivyo .. politics is about Who Get What, When and How!
Kuna watu niliwaambia miaka 2 iliyopita kuwa hii Yañga kama Simba hawata Reinvest ' tutapitwa ...na ziona dalili hizi! Kuna Wanasimba wanaweza kupinga hili lakini ni ukweli Mchungu!
 
Acha waendelee kuzubaa
 
Na Ile tuzo ya Jana ya Simba ingekuwa ni Yañga ...looh,Mwenyekiti angeenda kupokelewa Terminal One!
Ndo ivo mkuu, furahia hata hicho kidogo ulichonacho.

Enzi za kupitisha bakuli, zilikua ni enzi za aibu.
Mechi inaendelea huku watu wako na vindoo wanaomba bukubuku za kuendesha timu.

Leo timu uliyoipa buku ikualike ukale supu liwe jambo dogo, hapana aisee..
 
Ni kweli .. na wamepata na mfadhili na Mwenyekiti Mswahili Ndio imezidisha ... wao Kila kitu ni tukio! Umeona picha za South Afrika ... Unaona kabisa mtu analazimisha apate picha!Ni ushamba lakini Ndio hivyo .. politics is about Who Get What, When and How!
Kuna watu niliwaambia miaka 2 iliyopita kuwa hii Yañga kama Simba hawata Reinvest ' tutapitwa ...na ziona dalili hizi! Kuna Wanasimba wanaweza kupinga hili lakini ni ukweli Mchungu!
Yaaah mkuu japo Kwa macho ya kawaida inaonekana ni mambo madg
 
Back
Top Bottom