Baada ya miaka 10 hakika Tanzania itang'ara kiuchumi.
kwa sasa tufunge mkanda ili tuijenge nchi yetu.
Mjenga nchi ni
Asilimia inategemea na kiasi utakacholipia kwenye manunuzi ya luku ukinunua wa pesa ndogo percentage itakua kubwa kama makato ni ya mara moja mfano;Kwenye Kodi ya jengo, una maana gani kuweka 1,000 - 5,000?, Kwanini hujaweka asilimia?
Hapo anamaanisha, wapo watakaolipa 1,000/= kwa mwezi, na wengine 5,000/=.Kwenye Kodi ya jengo, una maana gani kuweka 1,000 - 5,000?, Kwanini hujaweka asilimia?
Hapa inabidi waongeze Kodi kwa ajiri ya kutunisha mfuko/bodi ya mikopo Ili vijana wetu wawe na uhakika wa kupata mikopo ya Elimu ya juuUkinunua Umeme utalipia Kodi nne:
1. VAT - 18%
2. Ewura - 3%
3. REA - 1%
4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000)
Awamu ya sita, tozo ziendelee!
Hamna namna, taifa la wabishi kulipa kodi ni lazima utumie njia hizi..Ukinunua Umeme utalipia Kodi nne:
1. VAT - 18%
2. Ewura - 3%
3. REA - 1%
4. Kodi ya Jengo (Tsh 1000- Tsh 5000)
Awamu ya sita, tozo ziendelee!
Yaani watu wachamgishwe ili fulani akasome?? Haiwezekani mama sio mjinga! Tafuteni sponsorshipHapa inabidi waongeze Kodi kwa ajiri ya kutunisha mfuko/bodi ya mikopo Ili vijana wetu wawe na uhakika wa kupata mikopo ya Elimu ya juu
Mkuu, huku tulikua tunanunua hadi umeme wa mia tatu!Wale wa kununua umeme wa buku buku itakuaje sasa?????
Kila ukinunua umeme kwa mwezi kuna kaasilikia unakatwa mpaka ukamilishe kiwango...kama utanujua mwingi kwa mara moja na hiyo asilimia kufika kiwango chako kwa mwezi huo basi inaishia hapo...Hiyo elfu 1-5 inalipwa kwa kukatwa kidogo kidogo ama vp
Mtani najikuta sielewi tu hii kitu kwa kweli.Asilimia inategemea na kiasi utakacholipia kwenye manunuzi ya luku ukinunua wa pesa ndogo percentage itakua kubwa kama makato ni ya mara moja mfano;
Umeme wa 5,000/= ukikatwa 1,000/= ni sawa na 20%
Mita zote zitalipiwa separately
Bado utanunua huo umeme ila unit itapungua...Mkuu, huku tulikua tunanunua hadi umeme wa mia tatu!
Kwa nini una luku zaidi ya moja? Luku moja maana yake nyumba moja, ndio malipo ya jengo hayo, kila jengo na luku yake...Sasa nyumba yenye luku zaidi ya moja itakuwake?
Nami nilikua nakiuliza hivyo hivyo kwanini isiwe kwa asilimia kama rea ,vat na ewura?Kwenye Kodi ya jengo, una maana gani kuweka 1,000 - 5,000?, Kwanini hujaweka asilimia?
Haukatwi buku kwa wakati mmoja, kinachokatwa ni asilimia fulani ya kiwango unachonunua. Kama utanujua umeme mwingi na asilimia hiyo ikafika buku basi...Wale wa kununua umeme wa buku buku itakuaje sasa?????
Baada ya miaka 10 hakika Tanzania itang'ara kiuchumi.
kwa sasa tufunge mkanda ili tuijenge nchi yetu.
Mjenga nchi ni mwananchi, shimee wananchi wenzangu.
Magorofa yana mfumo tofauti wa uingizaji umeme, sio luku moja moja! Kwa majengo ya kawaida yenye luku zaidi ya moja imekula kwao..Kuna majengo yana mita za luku zaidi ya tatu hapo inakuaje?