Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hapa ndipo utashangaa yani! Mbilinge mbilinge zote hizi hakuna report hata moja kuwa makusanyo ya tozo kwa mwezi ni bei gani serikali imekusanya?😅Hii ndio hoja kuu, kinachokusanywa kinatumikaje?
Na je zimetumikaje? Waweke mpango kazi kuwa sasa serikali inahitaji budget kiasi hiki kukamilisha mradi huu wa shule hizi kila kata ama kitongoji! Ili pesa zikiingia ziende direct huko