mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,854
unaonaje Mama la mama akaja na kodi ya cha asubuhi?Typing error...😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaonaje Mama la mama akaja na kodi ya cha asubuhi?Typing error...😀😀😀
Nina pendekezo Mama aje na kodi ya cha Asubuhi!Hutakaa usikie mzee 😅😅😅hapo itatumika nguvu kubwa ikiwezekana hata CAG kutimuliwa kwenye kiti chake maana upigaji utakaoenda kusomwa awamu hii lazma watu mtakaa chini na kushika tama!
Hisia zangu zinaniambia tutapasuka vibaya mno awamu hii!
Kwakua NI HAKI YETUMwisho wa siku watusomee mapato na matumizi.
Iko njiani hioNina pendekezo Mama aje na kodi ya cha Asubuhi!
Mita zote zitalipiwa separately
Au kodi ya bahari ya hindi, kwa wote wanaopata upepo wa bahari, pwani, Dar es salaam etc [emoji23]Nina pendekezo Mama aje na kodi ya cha Asubuhi!
maendeleo hayana mwisho, bado changamoto zipo nyingi.Una uhakika gani katika hili? Je, miaka yote hio huko nyuma ambapo serikali ilikuwa ikifanya majukumu yake bila tozo mbona majengo yalijengwa mengi tu? Shule zilijengwa, hospitali zilijengwa why today?
Endelea tu kufurahia kwa sasa! Maana bado upo chini ya himaya ya wazazi wako. Siku ukianza kujitegemea, utajutia hiki ulicho kiandika hapa.ahsante sana.
najisikia fahari kuijenga nchi yangu.
watanzania tupo tayari, kazi na iendeleee.
Ahaa wacha tuone kama nyoka wa miaka 50 anaweza kuwa malaika kwa miaka 5!maendeleo hayana mwisho, bado changamoto zipo nyingi.
bado kuna changamoto ya upatikanaji wa maji vijijini na hati ktk baadhi ya miji, bado kuna changamoto ya upungufu wa vyumba vya madarasa tunaona kila mara watoto wanakaa chini ya miti, hakuna vyoo, baadhi ya vijiji havina zahanati, bibi zetu shangazi zetu wanajifungulia njiani, changamoto ya ubovu wa barabara.
changamoto zote hizo na nyingine bado zinaendelea kuwa tesa baadhi ya watanzania walio wengi, hivyo hatuna budi tulipe kodi na tozo ili kuhakikisha uwiano wa maendeleo unapatikana kwa watanzania wote.
Tatizo sio kulipa kodi Bali hizo kodi zinatumiwaje kuwanufaisha wananchi?Kuna wapumbavu wanaamini kutokulipa kodi au kulipa kodi ndogo zaidi ndio maendeleo kwa wananchi...hamna nchibiliyoendelea ambayo wananchi wake wanalipa kodi ndogo...hamna, na hayo maendeleo yanachangiwa ktk hizi tozo...
ThubutuMwisho wa siku watusomee mapato na matumizi.
Inakatwa kwa mara mojaKila ukinunua umeme kwa mwezi kuna kaasilikia unakatwa mpaka ukamilishe kiwango...kama utanujua mwingi kwa mara moja na hiyo asilimia kufika kiwango chako kwa mwezi huo basi inaishia hapo...
Wamesema mwenye nyumba apeleke Luku hizo ziingizwe kwenye luku moja. Hakafu wapangaji hamtakiwi kulipa hii ni ya mwenye nyumba. Akigoma nendeni TRA(ila mnaweza kufukuzwa kwenye hio nyumba ha ha ha ha)hapa kuna kitu iko imejificha, mfano nina nyumba ina wapangaji 3, na luku zinajitegemea....hao wapangaji wakilipa luku zote zinasoma jina la mwenye nyumba......ina maana wapangaji ndio watalipia jengo,,sawa...je itasomeka nina nyumba 3?.......kama sijaelewa....kuna kitu hapa italeta mgongano mkubwa sana....tusubiri tuone....je majengo yote yapo registered???? ..kuna kivuli cha dhuluma nyingine kinakuja....WATANZANIA zetu kelele tuu...tena kwa muda mfupi sana.....then we move on.........
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi.Ahaa wacha tuone kama nyoka wa miaka 50 anaweza kuwa malaika kwa miaka 5!
Sio shida hilo ila matumizi ya kodi ndio tatizoTulipe kodi kwa maendeleo ya nchi.
Play your part.Sio shida hilo ila matumizi ya kodi ndio tatizo
Au nasema uongo....?!!!Mafuta ya ndege yamepanda bei na ndege imekuwa taxi yetu Dar-Dom, Dom-Dar, VIIEITE za wazito nazo hazijaacha kufakamia wese kwa hizi safari za kizazi kipya, Dar-Dom, Dom-Dar......tuendelee kuwa wazalendo ndugu zanguni.