Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Cockpit sawa sawa wahuni wanaita dashboard yake ni kiboko...Kaka enginia.....hii chombo itakufaa sana kwa kututunishia hapa mjini kuliko huko kwenye hayo mamiradi yenu......ukizingatia umbali na miji mikubwa utakayoweza kupata huduma za kiufundi itakuongezea gharama
Vuta chuma ina raha sana hiyo machine na ina cockpit ya kibabe sana,ila ushauri iweke kwa ajili ya kuvulia samaki ktk haya majiji yetu,ikifika safari za shamba unahamia yokohama
Mfano Audi SQ7 Diesel 4000cc gari ya 2017.Audi ipi Mkuu hata hivyo SA gari ikishatumika na ikipita miaka kama mitano hivi haiwezi kuwa bei hiyo sijui iwe gari gani SA ndio nchi ambayo wanazingatia sana miaka kwenye kupungua bei ya magari...gari nyingi za 2015 mpaka 2017 bei zake sio kubwa kama 2020 kuja 2022...
Hahaha just very soonYeah bebi i see it the man playing with flames[emoji2956]
Eeh... acha jamhuri wamuongezee watejaHuwa naiona Gereji pale Kawe Stand, Kwa JM ndio anapopiga service.
Ha ha ha daah. Umenichekeshaaa. Ila miye sinaga tatizo kbs. Ndo vileepesa pesa mkuu.. tuzisafe siku moja tuangalie madhaifu ya Ferrari [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukitaka kujua bei za magari andika www.Audi Q 7.olx.co.za au ukitaka BM na magari mengine badilisha tuu hapo kwenye aina ya magari rate mara nyingi ni 160 mpaka 170 kwa rand moja ni kuzidisha tuu hapo utaona bei ya Tsh ukitaka range rover hivyo hivyo...kuhusu kodi kama hiyo gari imetengenezwa SA na umepita wizara yao ya export and trade pretoria Sunnyside kodi inapungua sana tuu..ipo gumtree car sales pia kwa truck ni truck and moving machine.co.za ila ni kwa kuangalia tuu sio kulipa maana wanigeria wameingilia mitandao ukitaka gari mpaka uende uione kabisaa ndio uwalipe hata pesa ukiiacha Tanzania unalipia..Mfano Audi SQ7 Diesel 4000cc gari ya 2017.
Nataka kujua utofauti wa bei kulinganisha na toka nchi zingine kama Japan au UK.
Na upande wa kodi unakuwaje? Ina unafuu au wanapiga mulemule?
Very helpful.Ukitaka kujua bei za magari andika www.Audi Q 7.olx.co.za au ukitaka BM na magari mengine badilisha tuu hapo kwenye aina ya magari rate mara nyingi ni 160 mpaka 170 kwa rand moja ni kuzidisha tuu hapo utaona bei ya Tsh ukitaka range rover hivyo hivyo...kuhusu kodi kama hiyo gari imetengenezwa SA na umepita wizara yao ya export and trade pretoria Sunnyside kodi inapungua sana tuu..ipo gumtree car sales pia kwa truck ni truck and moving machine.co.za ila ni kwa kuangalia tuu sio kulipa maana wanigeria wameingilia mitandao ukitaka gari mpaka uende uione kabisaa ndio uwalipe hata pesa ukiiacha Tanzania unalipia..
Discovery 4 hata Bonyokwa haifai sembuse huko Kakonko!Unataka kwenda kuishi na Disco 4 Kasulu? basi sawaaaa
Humo utakuta gari brand new tu tofaut na wabongo wengi tunaotarajia used from JapanUkitaka kujua bei za magari andika www.Audi Q 7.olx.co.za au ukitaka BM na magari mengine badilisha tuu hapo kwenye aina ya magari rate mara nyingi ni 160 mpaka 170 kwa rand moja ni kuzidisha tuu hapo utaona bei ya Tsh ukitaka range rover hivyo hivyo...kuhusu kodi kama hiyo gari imetengenezwa SA na umepita wizara yao ya export and trade pretoria Sunnyside kodi inapungua sana tuu..ipo gumtree car sales pia kwa truck ni truck and moving machine.co.za ila ni kwa kuangalia tuu sio kulipa maana wanigeria wameingilia mitandao ukitaka gari mpaka uende uione kabisaa ndio uwalipe hata pesa ukiiacha Tanzania unalipia..
UNYAMA mwingi japo mfuko Lazima utoboke
UongoHumo utakuta gari brand new tu tofaut na wabongo wengi tunaotarajia used from Japan
Okay. Tuma salamUongo
Kenya wana standard zao za kibepari , nafikiri wananunua gari used zisizopungua miaka 7 toka kutengenezwa .
Sidhani kama kutakuwa naunafuu wowote ukinunua gari kenya , maana gari zao zinanunuliwa zikiwa na thamani kubwa.
Brand new ni kuingia na ford SA.co.za humo zote ni used ila kwetu tunasema mpya hujakosea...bei za magari ya Japan wanaangalia soko linasemaje wakati SA wanacheza na model ya mwaka gani ikiwa ya muda mrefu unaweza kupata hata bei ya kuokota...Humo utakuta gari brand new tu tofaut na wabongo wengi tunaotarajia used from Japan
Nimeona Suzuki Jimmy hizi latest nazo Ni used? SA Used labda zile zilizopata ajali au za wizi ambako Interpol ipo siku watakuletea nomaBrand new ni kuingia na ford SA.co.za humo zote ni used ila kwetu tunasema mpya hujakosea...bei za magari ya Japan wanaangalia soko linasemaje wakati SA wanacheza na model ya mwaka gani ikiwa ya muda mrefu unaweza kupata hata bei ya kuokota...
Ngoma kama hizi ndio za kwenda nazo huko kasulu. Chuma ya Kiumeni.Unataka kwenda kuishi na Disco 4 Kasulu? basi sawaaaa