Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

Kaka enginia.....hii chombo itakufaa sana kwa kututunishia hapa mjini kuliko huko kwenye hayo mamiradi yenu......ukizingatia umbali na miji mikubwa utakayoweza kupata huduma za kiufundi itakuongezea gharama

Vuta chuma ina raha sana hiyo machine na ina cockpit ya kibabe sana,ila ushauri iweke kwa ajili ya kuvulia samaki ktk haya majiji yetu,ikifika safari za shamba unahamia yokohama
Cockpit sawa sawa wahuni wanaita dashboard yake ni kiboko...
 
Audi ipi Mkuu hata hivyo SA gari ikishatumika na ikipita miaka kama mitano hivi haiwezi kuwa bei hiyo sijui iwe gari gani SA ndio nchi ambayo wanazingatia sana miaka kwenye kupungua bei ya magari...gari nyingi za 2015 mpaka 2017 bei zake sio kubwa kama 2020 kuja 2022...
Mfano Audi SQ7 Diesel 4000cc gari ya 2017.

Nataka kujua utofauti wa bei kulinganisha na toka nchi zingine kama Japan au UK.

Na upande wa kodi unakuwaje? Ina unafuu au wanapiga mulemule?
 
Ukitaka kujua bei za magari andika www.Audi Q 7.olx.co.za au ukitaka BM na magari mengine badilisha tuu hapo kwenye aina ya magari rate mara nyingi ni 160 mpaka 170 kwa rand moja ni kuzidisha tuu hapo utaona bei ya Tsh ukitaka range rover hivyo hivyo...kuhusu kodi kama hiyo gari imetengenezwa SA na umepita wizara yao ya export and trade pretoria Sunnyside kodi inapungua sana tuu..ipo gumtree car sales pia kwa truck ni truck and moving machine.co.za ila ni kwa kuangalia tuu sio kulipa maana wanigeria wameingilia mitandao ukitaka gari mpaka uende uione kabisaa ndio uwalipe hata pesa ukiiacha Tanzania unalipia..
 
Very helpful.

Thank you.
 
Humo utakuta gari brand new tu tofaut na wabongo wengi tunaotarajia used from Japan
 
BK745807_32a425.jpg
BK745807_7de237.jpg
 
Kenya wana standard zao za kibepari , nafikiri wananunua gari used zisizopungua miaka 7 toka kutengenezwa .
Sidhani kama kutakuwa naunafuu wowote ukinunua gari kenya , maana gari zao zinanunuliwa zikiwa na thamani kubwa.

Sikuwa nafahamu hili.

Nikajaribu kwenda kupitia kwa wakenya fulani nimewafollow, kweli magari wanayoleta mengi ni kuanzia 2014 japo hata chini ya hapo yapo ila ni mojamoja sana.

Wanaitwa Imports by Kairo.
 
Humo utakuta gari brand new tu tofaut na wabongo wengi tunaotarajia used from Japan
Brand new ni kuingia na ford SA.co.za humo zote ni used ila kwetu tunasema mpya hujakosea...bei za magari ya Japan wanaangalia soko linasemaje wakati SA wanacheza na model ya mwaka gani ikiwa ya muda mrefu unaweza kupata hata bei ya kuokota...
 
Nimeona Suzuki Jimmy hizi latest nazo Ni used? SA Used labda zile zilizopata ajali au za wizi ambako Interpol ipo siku watakuletea noma
 
Back
Top Bottom