Mchango wa diaspora wa kike katika jamii ya kitanzania...

ha ha ha ha...umetoa mpya mkuu, hivi na simiyu kuna usariver? au jiografia ya nchi imekukaa mbali kidogo?

nadhani huyo dada anakaa arusha, sasa alivyosema simiyu nikahisi labda ni ile mikoa mipya ambayo imegawanywa siku za karibuni, nikahisi itakuwa ni hukuhuko arusha.
 
hivi kwani Smile ni mkazi wa arusha? a u sure?....mkuu andate
 
Last edited by a moderator:

i m not sure ni mtu wa arusha. kwenye baadhi ya thread alivyo comment na baadhi ya watu walivyokuwa wana reply posts zake I guess ni mtu wa arusha. naweza nikawa wrong pia kwa sababu simfahamu.
 
Oh! hakuna tabu..nadhani Smile akifika hapa atasema mwenyewe..poa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu @figaniga hii mada ni nzuri ILA kwa walionyimwa visa watatolea hasira zote hapa;(

Maisha ni popote unapoona kuna furaha kwako wewe,na unaweza kupahimili katika suala zima la utafutaji.

Kuhusu mchango kwa pato la taifa..hmmm don think kama kuna uzito kivile tena kwa hali ya kiuchumi na kashda za kisiasa Tanzania ilivo sasa mtu akigundua anachangia taifa atastop!!
Saivi bana ni kustrugle kivyako kwa manufaa yako na familia yako.

Ukiwa Nyumbani...Ukiwa Ulaya usipokuwa mvivu na mchaguzi wa kazi unatoka tuu..

Ulaya social security,sheria zinakulinda,huwezi mfanyisha mtu kazi bila kumlipa au hadi aandamane ndo alipwe. . Longolongo za kukatisha tamaa kama mishahara ya walimu hakuna! Kiafya unauhakika wa matibabu sahihi,tofauti na bongo unamalaria unapewa dawa za kifafa!!
Huduma muhimu za jamii kwa nchi za wenzetu,zipo kwa uhakika na zinatolewa kwa usalama..

Suala la mashauzi kwenye mitandao ,me naona ni mtu mwenyewe maana kuna wasio nje anaposts picha kimashauzi balaa na inaonekana kawaida ila mtu ukiwa ulaya ukapiga hata picha pembeni ya gas station unaonekana mashauzi!!

Mtu akiamua kujishusha mwenyewe hata ummezeshe chaki hawezi kuelewa. We utakavochukulia hali yako ndo itakavokufanya umjudge mwenzio.

Kuhusu Lugha ,ukikaa hata Moshi au Arusha muda mrefu lazima kuna utakacho copy bila kupenda,kama sio lafudhi,basi hata tabia.. So applied to Mtu alie nje,we mtu unafanya kazi 24/7 ki-inglish kwa miaka mingap sijuw ,kiswahil maybe ukutane na mbongo mwenzio kwenye shughuli ama kwa simu ama jf ama familia yako..yan muda mwingi wewe katika masaa24 masaa20 ni english sasa em tuambiane apo..utasema mtu anajishaua?

Popote ulipo,malezi uliyokulia,hofu yako kwa Mungu,hekima kwa wenzio na juhudi zako katika utafutaji ndo zitakufanya uwe wewe kama ulivyo na michango, mitazamo,misaada kwa familia yako na taifa kwa ujumla.
 
Ukiwa Nyumbani...

naomba tuanzie hapa..umejaribu sana kutoa tofauti iliyopo kati ya ulaya na tanzania..so wewe unawaunga mkono watanzania walioacha uzalendo kwa sababu ya umaskini wa tz?
 
Pokea lke nyingiiiiiiiii. Naamini umejibu mada ipasavyo
 
hebu soma alivyoandika Swts naamini ashakujibu. Ngoja niwaachie na wengine I am not a know it all person.

nimesoma kwa umakini sana..na maudhui yake nimeyaelewa, japokuwa hajanijibu nilichokuuliza..na yeye kuna kitu nimemuuliza kutokana na maelezo yake...
Mkuu Ablessed.. u can talk as u wish..freely! funguka tu!
Tunaelimika pia kupitia wewe..
 
Last edited by a moderator:
naomba tuanzie hapa..umejaribu sana kutoa tofauti iliyopo kati ya ulaya na tanzania..so wewe unawaunga mkono watanzania walioacha uzalendo kwa sababu ya umaskini wa tz?

Kuacha uzalendo maana yake nini?
 
nimesoma kwa umakini sana..na maudhui yake nimeyaelewa, japokuwa hajanijibu nilichokuuliza..na yeye kuna kitu nimemuuliza kutokana na maelezo yake...
Mkuu Ablessed.. u can talk as u wish..freely! funguka tu!
Tunaelimika pia kupitia wewe..
Ngoja na mie niwe msomaji
 
kuisahau nchi in all aspects, kuwa mmarekani! In black skin... Kutosimama kwa ajili ya tanzania na mambo yake..

Kuisahau nchi kivipi hasa? Na kusimama kwa ajili ya Tanzania na mambo yake maana yake ni nini?
 
Mkuu Nyani Ngabu.. uzalendo ni ile hali ya mtu kuipenda na kuithamini nchi yake na kuweka maslahi ya taifa lake mbele. regardles yupo wapi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom