Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,185
Reaction score
37,239
Habari waungwana wa humu.

Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..

Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.

Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa kheri zaidi ukielekezewa kwenye mambo ya msingi kwenye jamii yetu kwa ujumla wake kama vile afya, elimu, misiba na majanga mengine ya kiasili.

Suala la ndoa au kufanya harusi ni suala binafsi..ambalo watu wa nje ya wale watu wako wa karibu inabakia kuwa ni khiyari kwao na sio kama shuruti

Kwenye jamii yetu kumezuka hali ya kudai na kulazimishana michango ya harusi utadhani ni deni mtu anakudai.

Wao wanakaa kwenye kamati zao na kuandaa bajeti zao ambazo wanajua kabisa haziendani na misuli yao kiuchumi.....alafu wanaamua kulingana na bajeti hii kila mtu atoe kiasi fulani cha fedha.

Ndugu zanguni hii si sawa...si vyema kupanga bajeti zenu za anasa kwenye mifuko ya watu wengine....Hali ya maisha ni ngumu.

Tunajua na kutambua kuwa ndoa ni jambo kheri lakini bado kwa asilimia kubwa linabakia kwenye uwezo wa muoaji kwanza na khiyari ya michango ya watu wengine

Kwanini usifanye jambo lako kwa wepesi kwa kadri ya uwezo wako kiuchumi....kwanini uhangaishe au kusumbua kwenye jambo ulilolipanga mwenyewe.....

Ukishampa mtu taarifa basi muache afanye khiyari mwenyewe na so kumfuatilia kama wale watu wa OYA..

MCHANGO WA HARUSI SIO DENI.......
1002325237.jpg
 
Mtu hamjaongea miaka mitano Ila anakutafuta ghafla na ombi la mchango wa harusi na kakupangia kiwango wanachotoa familia na marafiki wa karibu. Usipotoa unaitwa fake friend kwenye urafiki ambao hata haukuwepo
 
Mtu hana hata hela ya kufanya harusi mpaka achangishe watu kwa nini anaoa?? , atamlisha nini huyo bibie sasa?
Harusi ni gharama. Fikiria tu mahari, kitchen party, send off party na harusi yenyewe

Na kikubwa zaidi mtu anagharamia sherehe ya watu mia tano ambao wengi hawajui personally kwa sababu wazazi na ndugu wote wanapewa kadi nyingi nyingi kwa ajili ya watu wao. Ila ingekuwa ni family na marafiki wa karibu, wengi wangeweza
 
Habari waungwana wa humu.

Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..

Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.

Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa kheri zaidi ukielekezewa kwenye mambo ya msingi kwenye jamii yetu kwa ujumla wake kama vile afya, elimu, misiba na majanga mengine ya kiasili.

Suala la ndoa au kufanya harusi ni suala binafsi..ambalo watu wa nje ya wale watu wako wa karibu inabakia kuwa ni khiyari kwao na sio kama shuruti

Kwenye jamii yetu kumezuka hali ya kudai na kulazimishana michango ya harusi utadhani ni deni mtu anakudai.

Wao wanakaa kwenye kamati zao na kuandaa bajeti zao ambazo wanajua kabisa haziendani na misuli yao kiuchumi.....alafu wanaamua kulingana na bajeti hii kila mtu atoe kiasi fulani cha fedha.

Ndugu zanguni hii si sawa...si vyema kupanga bajeti zenu za anasa kwenye mifuko ya watu wengine....Hali ya maisha ni ngumu.

Tunajua na kutambua kuwa ndoa ni jambo kheri lakini bado kwa asilimia kubwa linabakia kwenye uwezo wa muoaji kwanza na khiyari ya michango ya watu wengine

Kwanini usifanye jambo lako kwa wepesi kwa kadri ya uwezo wako kiuchumi....kwanini uhangaishe au kusumbua kwenye jambo ulilolipanga mwenyewe.....

Ukishampa mtu taarifa basi muache afanye khiyari mwenyewe na so kumfuatilia kama wale watu wa OYA..

MCHANGO WA HARUSI SIO DENI.......View attachment 3153423
Ni kweli..

Usilazimishe kuchangiwa.

Angalia hii...
Ilikuwa kikao cha kwanza cha Harusi...ndugu, jamaa na marafiki kila mmoja aliulizwa kiasi ambacho anaweza kuchangia bila kulazimishwa kuna aliyetaja laki 1, 2, 3,4, 5, na wengine elfu 50, 30, 20 hadi elfu 10 ( Kwa hiari), na wengine walisema hawana uhakika ila Mungu akipenda tuko pamoja.

Kwasababu hujalizimishwa na mtu, ila ni kiherere chako cha kujifanya mwamba na kuahidi Tsh laki 5..endapo utashindwa kutoa kama ulivyo ahidi hilo ni Deni na inakulazimu ulipe.
Kwanini utoe ahadi ikiwa hauna uhakika na bajeti zako na hujalazimishwa..?

Michango ya kijinga ni ile ya kulazimisha kwa kumpangia mtu kiasi cha kuchangia kwenye furaha yako.
 
Kwa kweli kama umetoa ahadi ni wajibu utimize ahadi lakini pia pengine ulitoa ahadi kwa matazamio fulani ambayo yameondoka pasi na wewe kutarajia.....wakusanyaji wanatakiwa kuwa wapole na waelewa......
 
Nikweli...ila siku nyingine iwe funzo.

Ikitokea ni wakati wa kutoa ahadi ya mchango, toa ahadi rahisi hata kama wewe ni bosi.
 
Heri wanaume mnapewa ya harusi tu.
jamani wadada kitchenparty, bridalshower, babyshower kajifungua kuna kibeseni ...akiolewa ana mimba basi mnachanga mpakaaa..... na Usipotoa mtu anakununia kheeee🙌🤣
 
Habari waungwana wa humu.

Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu..

Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi.

Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa kheri zaidi ukielekezewa kwenye mambo ya msingi kwenye jamii yetu kwa ujumla wake kama vile afya, elimu, misiba na majanga mengine ya kiasili.

Suala la ndoa au kufanya harusi ni suala binafsi..ambalo watu wa nje ya wale watu wako wa karibu inabakia kuwa ni khiyari kwao na sio kama shuruti

Kwenye jamii yetu kumezuka hali ya kudai na kulazimishana michango ya harusi utadhani ni deni mtu anakudai.

Wao wanakaa kwenye kamati zao na kuandaa bajeti zao ambazo wanajua kabisa haziendani na misuli yao kiuchumi.....alafu wanaamua kulingana na bajeti hii kila mtu atoe kiasi fulani cha fedha.

Ndugu zanguni hii si sawa...si vyema kupanga bajeti zenu za anasa kwenye mifuko ya watu wengine....Hali ya maisha ni ngumu.

Tunajua na kutambua kuwa ndoa ni jambo kheri lakini bado kwa asilimia kubwa linabakia kwenye uwezo wa muoaji kwanza na khiyari ya michango ya watu wengine

Kwanini usifanye jambo lako kwa wepesi kwa kadri ya uwezo wako kiuchumi....kwanini uhangaishe au kusumbua kwenye jambo ulilolipanga mwenyewe.....

Ukishampa mtu taarifa basi muache afanye khiyari mwenyewe na so kumfuatilia kama wale watu wa OYA..

MCHANGO WA HARUSI SIO DENI.......View attachment 3153423
Ukiahidi ujue tayari ni deni. Kama hutaki kudaiwa usiahidi, ukiahidi na usipotoa huo ni utoto. Hekima na busara ni kutokuahidi.
 
Back
Top Bottom