Mchango wa Hijja kwenye Uchumi wa Saudia

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Tofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye pato la Taifa hili kubwa duniani?
 
Kujifunza Kwa ndugu zetu
Trillions of usd WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia.

Badala ya WaIslam wa Tanganyika,Kenya,Rwanda ....... kwenda kufurahia maisha Serengeti au Rubondo yanakwenda kichwa kichwa Macca kukuza uchumi wa waarabu.

Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.

Hawajui wajanja walichomeka hicho kipengele cha kuhiji kwasababu za kiuchumi na si vinginevyo.
 
Hijja ama Hajj ina faida kubwa sana kwa nchi ya saudi arabia.

Baada ya mafuta.. chanzo cha pili cha mapato utalii wa kidini ambao ni Hijja.

Na hiyo ndio sababu saudi arabia inapenda sana waislamu duniani waongezeke wawe wengi.

Maana wanajua kuna nguzo waanzilishi wa uislamu wamewawekea ambayo inawabeba saudi arabia kiuchumi,,, kwamba lazima watembelee saudi arabia na kuleta hela zao via utalii yaani waislam wote lazima waje hijja ndio watakamilisha nguzo tano za uislamu
 
Ila aliyeweka Hijja ya Mecca na Madina, na ile ya Israel (Nchi Takatifu) aliwaza mbali sana!

Tena kama hiyo ya Uarabuni imewekwa kabisa kwenye Nguzo 5 za Uislam! Yaani inashauriwa kwa Waislam kuhakikisha wanatimiza hizo Nguzo zote 5 za Uislam katika maisha yao hapa duniani!!
 
Trillions of usd WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia.

Badala ya WaIslam wa Tanganyika,Kenya,Rwanda ....... kwenda kufurahia maisha Serengeti au Rubondo yanakwenda kichwa kichwa Macca kukuza uchumi wa waarabu.

Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.

Hawajui wajanja walichomeka hicho kipengele cha kuhiji kwasababu za kiuchumi na si vinginevyo.
Duh! Unachanganya mambo, unazungumzia kwenda sehemu za kufurahia maisha au unazungumzia masuala ya kiimani?
 
Hijja ama Hajj ina faida kubwa sana kwa nchi ya saudi arabia.

Baada ya mafuta.. chanzo cha pili cha mapato utalii wa kidini ambao ni Hijja.

Na hiyo ndio sababu saudi arabia inapenda sana waislamu duniani waongezeke wawe wengi.

Maana wanajua kuna nguzo wamewawekea kwamba lazima watembelee saudi arabia na kuleta hela zao via utalii yaani waislam wote lazima waje hijja ndio watakamilisha nguzo tano za uislamu
Haaaaa yaani mafuta yakikatika fedha za Hijja zitaendelea kumiminika.Watu wana akili sana.
 
Tofauti na nchi nyingi Kusini Kwa jangwa la Sahara zinazotegemea ufadhili na Tozo. Nchi ya Saudi Arabia Ina vyanzo vingi vya mapato ikiwemo HIJJA kila mwaka. Nani anaweza kutuwekea data za mchango wa HIJJA kila mwaka kwenye lato la Taifa hili kubwa duniani?
Sisi hayo mambo ya data hatuyajui, hayo ni mambo ya elimu dunia
 
Trillions of usd WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia.

Badala ya WaIslam wa Tanganyika,Kenya,Rwanda ....... kwenda kufurahia maisha Serengeti au Rubondo yanakwenda kichwa kichwa Macca kukuza uchumi wa waarabu.

Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.

Hawajui wajanja walichomeka hicho kipengele cha kuhiji kwasababu za kiuchumi na si vinginevyo.
We mse............ hija sio utalii ni ibada
 
Haaaaa yaani mafuta yakikatika fedha za Hijja zitaendelea kumiminika.Watu wana akili sana.
Watu wana akili kweli, sio sie tunajivunia mali asili nyingi ila tunaongoza kwa umasikini, sio ajabu hata Tanzania ndio ingekuwa nchi ambayo watu huja kufanya hijja bado tusingefaidika ungekuta huduma mbovu na mapato yangekuwa madogo na yasingenufaisha nchi.
 
Trillions of usd WaIslam wa dunia yote/ nzima wanakuza uchumi wa Saudiarabia.

Badala ya WaIslam wa Tanganyika,Kenya,Rwanda ....... kwenda kufurahia maisha Serengeti au Rubondo yanakwenda kichwa kichwa Macca kukuza uchumi wa waarabu.

Miafrika ni mijitu ya hovyo sana.Eti inaamini ukienda Washington au Nanjilinji huendi peponi!.

Hawajui wajanja walichomeka hicho kipengele cha kuhiji kwasababu za kiuchumi na si vinginevyo.
Pole sana,nimeamini siyo kila kitu unaweza ukawa unakijua
 
Watu wana akili kweli, sio sie tunajivunia mali asili nyingi ila tunaongoza kwa umasikini, sio ajabu hata Tanzania ndio ingekuwa nchi ambayo watu huja kufanya hijja bado tusingefaidika ungekuta huduma mbovu na mapato yangekuwa madogo na yasingenufaisha nchi.
Sasa unaongea mambo ya maana,usiwe mjinga kama wafia dini
 
Back
Top Bottom