Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.
Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na majeshi yake watakuwa wamesha iteka Kyiv.
Rais wa Ukraine akili kubwa, kwa kujua ubutu wa jeshi lake dhidi ya majeshi ya Russia, alikuja na mkakati madhubuti hii kwenye football tunaita kupaki basi, Putin na majeshi yake wakaingia kwenye mtego wamepigwa magoli ya kaunta ataki wamebaki wameduwaa hawaamini macho yao wameduwaaa chaliii.
Mpaka sasa sioni dalili za Putin kuiteka Kyiv, atapita wapi? Angani akitokeza uso tu analo ardhini ndio balaaa, hii ni fedhea kubwa kwa Putin wasiwasi wangu tunaweza kumpoteza mbabe huyu kwa aibu kubwa.