BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Hajui kitu huyoUnajua aliye mkarisha hitler
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui kitu huyoUnajua aliye mkarisha hitler
Acha ushamba basi! Mtu Mmoja kupambana na mataifa 29+ sio jambo la kawaida. Putin ni mbabe aiseeHakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.
Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na majeshi yake watakuwa wamesha iteka Kyiv.
Rais wa Ukraine akili kubwa, kwa kujua ubutu wa jeshi lake dhidi ya majeshi ya Russia, alikuja na mkakati madhubuti hii kwenye football tunaita kupaki basi, Putin na majeshi yake wakaingia kwenye mtego wamepigwa magoli ya kaunta ataki wamebaki wameduwaa hawaamini macho yao wameduwaaa chaliii.
Mpaka sasa sioni dalili za Putin kuiteka Kyiv, atapita wapi? Angani akitokeza uso tu analo ardhini ndio balaaa, hii ni fedhea kubwa kwa Putin wasiwasi wangu tunaweza kumpoteza mbabe huyu kwa aibu kubwa.
⚡️🇷🇺🇺🇦Russian Defense Minister Sergei Shoigu says the main tasks of the military operation's first stage are in general completed, Russia can focus on the main goal: to liberate Donbas.Mshua Putin alivyo tangaza oparation kijeshi basi nikajua hii ngoma anaimuduna ndani ya week tuu Ukrain itakuwa isha milikiwa asee...
Lakini mpaka asaivi naskia kwenye vyombo vya habari kuwa wao washaanza kufarakana mpaka na Ma General wao wamekuwa na Presha.
Hatakama ila Ukrain ina stail kupongezwa.
Vonskey anahitaji kupongezwa kwa level yake dhidi ya Rusia
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mpango mzuri amefanya Zelensky, lakini sio ivyo tu pale Kyiv kuna habari nzito kwa adui akija ovyo ovyo hizo handaki fikiria watu walikuwa wanakaa na kujificha na huduma zoteHakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.
Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na majeshi yake watakuwa wamesha iteka Kyiv.
Rais wa Ukraine akili kubwa, kwa kujua ubutu wa jeshi lake dhidi ya majeshi ya Russia, alikuja na mkakati madhubuti hii kwenye football tunaita kupaki basi, Putin na majeshi yake wakaingia kwenye mtego wamepigwa magoli ya kaunta ataki wamebaki wameduwaa hawaamini macho yao wameduwaaa chaliii.
Mpaka sasa sioni dalili za Putin kuiteka Kyiv, atapita wapi? Angani akitokeza uso tu analo ardhini ndio balaaa, hii ni fedhea kubwa kwa Putin wasiwasi wangu tunaweza kumpoteza mbabe huyu kwa aibu kubwa.
Ukraine walipata war technicians wazuri sana kuweza kuleta upinzani na madhara makubwa kwenye vikosi vya Russia, ile mizinga aliyopiga Russia ilikuwa kama kisasi kwani convoy zake ziliwekwa kwenye mtego na kuharibiwa vibaya sana, hawa jamaa walishajiandaa na vita yaani walishajenga bunkers zenye facilities zoteMpango mzuri amefanya Zelensky, lakini sio ivyo tu pale Kyiv kuna habari nzito kwa adui akija ovyo ovyo hizo handaki fikiria watu walikuwa wanakaa na kujificha na huduma zote
Urusi anaangalia raia sio?,mji Mariupol hadi sasa raia 5000 wameshapoteza maisha,makaburi kila mahali.Hitler hakuangalia raia, alifumua wote raia wanajeshi, urusi angekuwa kama Hitler Ukrain ingekaa Siku mbili tu.
Na sasa hivi Urusi wameanza ku withdraw kimya kimya kutoka Kyiv,wameona kuiteka Kyiv itakuwa kazi ngumu sana kuliko walivyotarajia,pia supply ya silaha kutoka NATO hasa anti-tank missiles zimewasaidia sana Ukraine kupiga vifaru vya Urusi,maana mfano ile Javelin ni guided missile ukisha lock target yenyewe inaitafuta terget yenyewe,halafu ikifika inapiga kwa juu pale kwenye mfuniko,so hakuna atayesalimika walio ndani,Stingers pia zimewasaidia kudungua helicopters na drones.Ukraine walipata war technicians wazuri sana kuweza kuleta upinzani na madhara makubwa kwenye vikosi vya Russia, ile mizinga aliyopiga Russia ilikuwa kama kisasi kwani convoy zake ziliwekwa kwenye mtego na kuharibiwa vibaya sana, hawa jamaa walishajiandaa na vita yaani walishajenga bunkers zenye facilities zote
Inawezekana vikosi vya Russia havikukusanya vizuri taarifa za uwanja wa medani kiasi cha kuharibu miji kama alivyofanya mariupol, vikundi vingi vilivyokuwa vinaingia kuna sehemu njia zilibadilisha maskini vikajikuta vinaiingia kwenye killing zone, counterattack zimepigwa kwelikweli kwenye vikosi vilivyojiposition maaneo ya vijijini bila control, hii operation Russia kafeliNa sasa hivi Urusi wameanza ku withdraw kimya kimya kutoka Kyiv,wameona kuiteka Kyiv itakuwa kazi ngumu sana kuliko walivyotarajia,pia supply ya silaha kutoka NATO hasa anti-tank missiles zimewasaidia sana Ukraine kupiga vifaru vya Urusi,maana mfano ile Javelin ni guided missile ukisha lock target yenyewe inaitafuta terget yenyewe,halafu ikifika inapiga kwa juu pale kwenye mfuniko,so hakuna atayesalimika walio ndani,Stingers pia zimewasaidia kudungua helicopters na drones.
Hii vita inawakumbusha Russia enzi za uvamizi wa USSR afghanistan wakipigana na Mujahdeen,stingers na javelin ziliwapa tabu sana USSR hadi ikapelekea kushindwa vita na kuondoka.
Misaada inatangazwa hadharani na inapelekwa hadharani hadi njia ya kupeleka hiyo misaada inajulikana kuwa mpakani mwa Poland.Acha ushabiki, hapo kapima nguvu ya wa ukraine, mabeberu wa ulaya na marekani.japo misaada wanaitoa Kwa kificho[emoji125]
Ndio sifa kuu za comedian hizo.Anaelia kila siku na kulazimisha kuonewa huruma anajulikana
Kwani vita vimepiganiwa wapi?Kwa maelezo yako bila shaka moscow imebaki magofu[emoji16]
Naipenda ile comedy ya magofuNdio sifa kuu za comedian hizo.
Chamge of tactics baada ya vita kuwa ngumu,kama walikuw wanshida na Dombass hawakuwa na haja ya kupeleka majeshi kyiv wakajianike njiani na kuwa ambushed,Hii vita Urusi wali plan vibaya tokea mwanzo,sasa wanatafuta njia nzuri ya kutokea.⚡️🇷🇺🇺🇦Russian Defense Minister Sergei Shoigu says the main tasks of the military operation's first stage are in general completed, Russia can focus on the main goal: to liberate Donbas.
Drone hizi?......Chamge of tactics baada ya vita kuwa ngumu,kama walikuw wanshida na Dombass hawakuwa na haja ya kupeleka majeshi kyiv wakajianike njiani na kuwa ambushed,Hii vita Urusi wali plan vibaya tokea mwanzo,sasa wanatafuta njia nzuri ya kutokea.
Kushindwa kuweka no fly zote pale Kyiv it was a great military mistake,Mataifa yanayojielewa hawawezi peleka ground troops bila kuhakikisha wana clear sky dominance,maana ni kama unawapeleka machinjioni,nafikiri uliona Drone za Ukraine walizonunua Turkey zilivykuwa zinashambulia majeshi ya Urusi ardhini,That was clear sign kwamba Russia wameshindwa ku dominate the sky
Mpaka sasa Russia sidhani kama anacha kujivunia kwenye hii vita,otherwise wameji expose hata kwa maadui zao kuonyesha ni jinsi gani majeshi ya Russia wanakosa basic battle tactics,mfano the way walikuwa wanapita barabarani wazi kabisa na msafara wa vifaru tena viko karibu karibu bila hata air support imeonyesha udhaifu sana...Hi imefanya kila mara Russia wame easy target kwa ambush,Hadi sasa inasemekana Russia wameshapotesa wanajeshi zaid ya 15000,idadi kubwa kama waliokufa enzi za uvamizi wa Soviet Afghanistani.Inawezekana vikosi vya Russia havikukusanya vizuri taarifa za uwanja wa medani kiasi cha kuharibu miji kama alivyofanya mariupol, vikundi vingi vilivyokuwa vinaingia kuna sehemu njia zilibadilisha maskini vikajikuta vinaiingia kwenye killing zone, counterattack zimepigwa kwelikweli kwenye vikosi vilivyojiposition maaneo ya vijijini bila control, hii operation Russia kafeli
Ukituwekea picha na sisi tutaleta picha za upande wa Ukraine,hatutafika mwisho,..Drone hizi?......View attachment 2168234View attachment 2168235View attachment 2168236View attachment 2168237?? Huko kwingine alishindwa sababu raia na wanajeshi wanachanganyika kwahio huelewi uende vipi.......Putin angekua na roho kama ya Hitler kiev yote kwa sasa ingekua majivu
Hahahah! Ze comedy Zelensky namfananisha na Toto tundu anayeonewa,Acha ushabiki, hapo kapima nguvu ya wa ukraine, mabeberu wa ulaya na marekani.japo misaada wanaitoa Kwa kificho🏃