Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.

Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na majeshi yake watakuwa wamesha iteka Kyiv.

Rais wa Ukraine akili kubwa, kwa kujua ubutu wa jeshi lake dhidi ya majeshi ya Russia, alikuja na mkakati madhubuti hii kwenye football tunaita kupaki basi, Putin na majeshi yake wakaingia kwenye mtego wamepigwa magoli ya kaunta ataki wamebaki wameduwaa hawaamini macho yao wameduwaaa chaliii.

Mpaka sasa sioni dalili za Putin kuiteka Kyiv, atapita wapi? Angani akitokeza uso tu analo ardhini ndio balaaa, hii ni fedhea kubwa kwa Putin wasiwasi wangu tunaweza kumpoteza mbabe huyu kwa aibu kubwa.
Watu wamekufa, nchi imeharibiwa, miundombinu imejaribiwa, hasara ni kubwa hakuna jambo la kufurahisha.
 
Hitler hakuangalia raia, alifumua wote raia wanajeshi, urusi angekuwa kama Hitler Ukrain ingekaa Siku mbili tu.
Umeongea pointi sana ambayo mashabiki wa commedian hawataki kuikubali. Putin amekua muungwana sana kinyume cha hapo tungekua tunaongea mengine kabisa
 
Wanazuoni wansema Putin ali under estimate reaction ya NATO na West,hakutegemea wangempa support kubwa namna hii Zelensky,alitegemea akipiga mkwara basi west wataogopa kuipa support Ukraine,ikawa tofauti kabisa wanampa hela na silaha za kutosha,na pia hakutegemea sanctions zitakuwa kali kiasi hiki,hata Russia ndani kwenyewe kuna watuwazito wanaanza kutilia mashaka future ya russia kama wakiendelea kutengwa na West.
Naona tu mnavyojifariji, nna uhakika Ukraine ataachia donbase na kufuata sera ya neutrality. Atafanya hivi kuepusha madhara dhaidi ya anayopokea. Mmesahau kauli zake za "wiki hii inaweza kua ya mwisho kuniona" ?

Ubora pekee wa Ukraine kwenye hii operation ni kuficha kwenye vivuli vya wananchi, unakua hujui nani adui nani askari. Wanasema mariupol wameua raia zaidi ya 5000 mna uhakika hakuna askari pale?
Mercenaries na wanasheji waliopigwa na khinzile missile pale mpakani mwa poland mnajua idadi yake?

Yaani nchi inapoteza majimbo, watu, wanajeshi na miundombinu alafu mnasema imeshinda vita.?? Huu ushabiki huu.
 
Mabeberu wameondelea kuwa bora kwenye medani za ujasusi na hujuma, na kwa sasa yanajianda kumuadhibu zaidi putin na serikalii yake, kinachowapa nguvu mabeberu ni power diversification ndio maana mikwara yote lakini wameendelea kutoa support
Late facts sio blah blah, sema hali halisi ya uchumi duniani nani anaumia?
 
Putin amefanya mauaji ya raia wengi sana Ukraine,Georgia, Chechnya na Syria, Hana uungwana wowote.
Umeongea pointi sana ambayo mashabiki wa commedian hawataki kuikubali. Putin amekua muungwana sana kinyume cha hapo tungekua tunaongea mengine kabisa
 
Oparation haina mda maalumu ni mpaka lengo litakapofikia bwashee,
so ndo ulimi hauna pazia ooh sorry macho hayan mfupa ,kusema mtamaliza ndan ya siku 3 kuwa mshafika km 11 kuingia katikati ya kyiv ?
 
Russia anapigana na nchi 31 nazote zimepoteana[emoji16][emoji16]
walipovamia walikuwa wengi kwa uchache Urusi , Beralus na Chenyeto ila ss ni zamu yao waanz kuhis joto la uvamiz ss
 
so ndo ulimi hauna pazia ooh sorry macho hayan mfupa ,kusema mtamaliza ndan ya siku 3 kuwa mshafika km 11 kuingia katikati ya kyiv ?

Oparation ya kivita sio sawa na mpira wa miguu bwashee hata marekani kachemka kwenye oparation nyingi sana tena nyengine za kutia aibu

Alishapigwa sudani kipigo cha mbwa mwizi [emoji16][emoji16]
 
Tatizo tunashabikia sana hizi politics za west. Kuna watu wanaooana Americai kama dini. Chochote anachofungamana nacho anaungwa mkono. Yan zile itikadi za America/Israel Vs Russia/Arab world hazijaisha. Ila tuwe realistic na sio ushabiki tu
Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.

Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na majeshi yake watakuwa wamesha iteka Kyiv.

Rais wa Ukraine akili kubwa, kwa kujua ubutu wa jeshi lake dhidi ya majeshi ya Russia, alikuja na mkakati madhubuti hii kwenye football tunaita kupaki basi, Putin na majeshi yake wakaingia kwenye mtego wamepigwa magoli ya kaunta ataki wamebaki wameduwaa hawaamini macho yao wameduwaaa chaliii.

Mpaka sasa sioni dalili za Putin kuiteka Kyiv, atapita wapi? Angani akitokeza uso tu analo ardhini ndio balaaa, hii ni fedhea kubwa kwa Putin wasiwasi wangu tunaweza kumpoteza mbabe huyu kwa aibu kubwa.
 
Si warushe sasa wanalialia nini,,,,,,,mnajifariji halafu mwisho wa siku mnalia kuonewa huruma........we tuma tu .......kufika mwisho hadi mrusi amalize yake ukraine hata miaka 20 ijayo ngoma itambae tu
Vita ni Sayansi
 
Wanazuoni wansema Putin ali under estimate reaction ya NATO na West,hakutegemea wangempa support kubwa namna hii Zelensky,alitegemea akipiga mkwara basi west wataogopa kuipa support Ukraine,ikawa tofauti kabisa wanampa hela na silaha za kutosha,na pia hakutegemea sanctions zitakuwa kali kiasi hiki,hata Russia ndani kwenyewe kuna watuwazito wanaanza kutilia mashaka future ya russia kama wakiendelea kutengwa na West.
Lengo kuu la Putin lilikuwa ni kuwagombanisha NATO/E.U hasa Germany na France zidi ya U.S sasa imekuwa tofauti mpaka Germany kabadili Sera zake kwa 100% kuhusu mahusiano na Russia, Biashara,Ulinzi na Bajeti na majukumu yake kwenye NATO.
 
Hahahah! Ze comedy Zelensky namfananisha na Toto tundu anayeonewa,
Analia huku anajibu mapigo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawashangaa sana hata wanao mlaumu zelensky kwa kujitetea. Hao ni Sawa na wale wanao Sema eti kupangua ngumi ya mkubwa ni dharau.
 
Back
Top Bottom