Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

Vita inapiganwa ndani ya Ukraine hafu anapigwa mrusi acha ushabiki wa kwenye vijiwe vya kahawa
Hakika Wana Ukraine wanapaswa kutembea kifua mbele hadi hivi sasa mpira ni mapumziko wamesha mchapa mtu tatu kwa nunge.

Hii vita watu waliichukulia poa akiwemo anayedaiwa kuwa mbabe wa vita Vladimir Putin, kutokana na ubutu wa jeshi la Ukraine wengi wetu tulijua ndani ya muda mfupi Putin na majeshi yake watakuwa wamesha iteka Kyiv.

Rais wa Ukraine akili kubwa, kwa kujua ubutu wa jeshi lake dhidi ya majeshi ya Russia, alikuja na mkakati madhubuti hii kwenye football tunaita kupaki basi, Putin na majeshi yake wakaingia kwenye mtego wamepigwa magoli ya kaunta ataki wamebaki wameduwaa hawaamini macho yao wameduwaaa chaliii.

Mpaka sasa sioni dalili za Putin kuiteka Kyiv, atapita wapi? Angani akitokeza uso tu analo ardhini ndio balaaa, hii ni fedhea kubwa kwa Putin wasiwasi wangu tunaweza kumpoteza mbabe huyu kwa aibu kubwa.
 
Mpaka sasa Russia sidhani kama anacha kujivunia kwenye hii vita,otherwise wameji expose hata kwa maadui zao kuonyesha ni jinsi gani majeshi ya Russia wanakosa basic battle tactics,mfano the way walikuwa wanapita barabarani wazi kabisa na msafara wa vifaru tena viko karibu karibu bila hata air support imeonyesha udhaifu sana...Hi imefanya kila mara Russia wame easy target kwa ambush,Hadi sasa inasemekana Russia wameshapotesa wanajeshi zaid ya 15000,idadi kubwa kama waliokufa enzi za uvamizi wa Soviet Afghanistani.
Na silaha za west zinaendelea kumwagika Ukraine,Hii vita itachukua muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa na madhara yatakuwa makubwa zaidi.
492484_5bc708c46414ebec12613c76a2277d5f.jpg
FO5r4RwXIAI9zj9.jpeg.jpg
IMG_20220316_144916.jpg
IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Mpaka sasa Russia sidhani kama anacha kujivunia kwenye hii vita,otherwise wameji expose hata kwa maadui zao kuonyesha ni jinsi gani majeshi ya Russia wanakosa basic battle tactics,mfano the way walikuwa wanapita barabarani wazi kabisa na msafara wa vifaru tena viko karibu karibu bila hata air support imeonyesha udhaifu sana...Hi imefanya kila mara Russia wame easy target kwa ambush,Hadi sasa inasemekana Russia wameshapotesa wanajeshi zaid ya 15000,idadi kubwa kama waliokufa enzi za uvamizi wa Soviet Afghanistani.
Na silaha za west zinaendelea kumwagika Ukraine,Hii vita itachukua muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa na madhara yatakuwa makubwa zaidi.
Hakuna operation mbaya kama kuvamia nchi ya watu hata kama ni ndogo huwa ni balaa kama utakuta watu wake wanamshikamano. Ndio maana beberu akitaka kuvamia anawachonganisha mnagawika kisha anaingia, hii operation Russia hawezi kushinda labda aingamize ukraine yote na si vinginevyo. Uzalendo uliokomaa ni zaidi ya silaha zote na wingi wa majeshi, watu wakiamua kusimama kupigania nchi yao kwa jasho na damu huwawezi watu watambue hilo, ukraine ulitolewa wito wa kulinda na kupigania uhuru na heshima ya nchi yao hupiti kizembe maana nchi nzima inakuwa vitani
 
Ukituwekea picha na sisi tutaleta picha za upande wa Ukraine,hatutafika mwisho,..
Tunachzungumzia hapa russia ground operation hadi sasa imeonyesha udhaifu sana,kurusha missile angani kila nci inaweza hilo,sio kitu cha kujivunia maana matokeo yake wameua watu 5000 wasio ha hatia kule Maiupol haisa sasa,kutumia missiles kwa wingi ni ishara ya kufeli kwa ground operations
Si warushe sasa wanalialia nini,,,,,,,mnajifariji halafu mwisho wa siku mnalia kuonewa huruma........we tuma tu .......kufika mwisho hadi mrusi amalize yake ukraine hata miaka 20 ijayo ngoma itambae tu
 
Ooops kumbe nabishana na layman,.
have a good day bro.
 
Mabeberu washaanza kumsaliti COMMEDIAN wao uko[emoji4][emoji116]
JamiiForums60122353.jpg
 
Hakuna operation mbaya kama kuvamia nchi ya watu hata kama ni ndogo huwa ni balaa kama utakuta watu wake wanamshikamano. Ndio maana beberu akitaka kuvamia anawachonganisha mnagawika kisha anaingia, hii operation Russia hawezi kushinda labda aingamize ukraine yote na si vinginevyo. Uzalendo uliokomaa ni zaidi ya silaha zote na wingi wa majeshi, watu wakiamua kusimama kupigania nchi yao kwa jasho na damu huwawezi watu watambue hilo, ukraine ulitolewa wito wa kulinda na kupigania uhuru na heshima ya nchi yao hupiti kizembe maana nchi nzima inakuwa vitani
N muda unavyozidi kwenda ndio vita huwa vinakuwa vigumu zaidi,refer USA Iraq na Afghan,vita ilikuwa ngumu kadri muda ulivyokuwa unaenda na walikuwa wanapoteza wanajeshi wengi zaidi.
Russia sasa hivi wame opt kutumia mercenaries kuishambulia Kyiv wameona hii ngoma ngumu..
 
Ukituwekea picha na sisi tutaleta picha za upande wa Ukraine,hatutafika mwisho,..
Tunachzungumzia hapa russia ground operation hadi sasa imeonyesha udhaifu sana,kurusha missile angani kila nci inaweza hilo,sio kitu cha kujivunia maana matokeo yake wameua watu 5000 wasio ha hatia kule Maiupol haisa sasa,kutumia missiles kwa wingi ni ishara ya kufeli kwa ground operations
Russia kutumia ballastic missile haikuwa planned fire support ndio maana mabomu mengi yamelipua makazi ya watu hapa Russia kachemka, ipo hivi vikundi hasimu vinaweza kuwa vinapambana kwa umbali flani hivyo silaha za msaada zinaweza kutumika ila kupata control na kusonga mbele, watu wengi wanakalili sana ila uwezo wa medani hapa Russia amedebweda mpaka propaganda au media war amezidiwa sana
 
Wanazuoni wansema Putin ali under estimate reaction ya NATO na West,hakutegemea wangempa support kubwa namna hii Zelensky,alitegemea akipiga mkwara basi west wataogopa kuipa support Ukraine,ikawa tofauti kabisa wanampa hela na silaha za kutosha,na pia hakutegemea sanctions zitakuwa kali kiasi hiki,hata Russia ndani kwenyewe kuna watuwazito wanaanza kutilia mashaka future ya russia kama wakiendelea kutengwa na West.
 
Ukituwekea picha na sisi tutaleta picha za upande wa Ukraine,hatutafika mwisho,..
Tunachzungumzia hapa russia ground operation hadi sasa imeonyesha udhaifu sana,kurusha missile angani kila nci inaweza hilo,sio kitu cha kujivunia maana matokeo yake wameua watu 5000 wasio ha hatia kule Maiupol haisa sasa,kutumia missiles kwa wingi ni ishara ya kufeli kwa ground operations
Ya nini akaumize nguvu kazi yake,Ilhali ana mbadala wakumwadhibu nyoka akiwa angani.
 
Wanazuoni wansema Putin ali under estimate reaction ya NATO na West,hakutegemea wangempa support kubwa namna hii Zelensky,alitegemea akipiga mkwara basi west wataogopa kuipa support Ukraine,ikawa tofauti kabisa wanampa hela na silaha za kutosha,na pia hakutegemea sanctions zitakuwa kali kiasi hiki,hata Russia ndani kwenyewe kuna watuwazito wanaanza kutilia mashaka future ya russia kama wakiendelea kutengwa na West.
Mabeberu wameondelea kuwa bora kwenye medani za ujasusi na hujuma, na kwa sasa yanajianda kumuadhibu zaidi putin na serikalii yake, kinachowapa nguvu mabeberu ni power diversification ndio maana mikwara yote lakini wameendelea kutoa support
 
Putin ni kama Hitler tu wala haangalii raia hata yeye.
Hitler hakuangalia raia, alifumua wote raia wanajeshi, urusi angekuwa kama Hitler Ukrain ingekaa Siku mbili tu.
 
Back
Top Bottom