Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

Na hio sayansi naona wanaijua nato tu sio
where are they now, kwanini wasisimame kwenye malengo yao yaliyo ignate hii vita Ukraini?
Equipment and other war machinery zilikua transported kwenda Poland miaka 10 iliyopita, lakin kila cku tunaona kwa news, its like NATO haikua na maandalizi..why?
Majibu ya Biden kabla ya vita yalionesha dhahiri US &NATO imejiandaa kikamilifu kukabiliana na Russia kuitetea Ukrain... sasa iko wapi?
Zelensky anawatafuta NATO hawaoni mpo wapi?

Nikisema NATO nidhaifu nitakua nimekosea?
 
Donbass vipi huko.............malengo waliyosema mwanzo na sasa lipi ambalo bado hawajatimiza?
 
Mshua Putin alivyo tangaza oparation kijeshi basi nikajua hii ngoma anaimuduna ndani ya week tuu Ukrain itakuwa isha milikiwa asee...

Lakini mpaka asaivi naskia kwenye vyombo vya habari kuwa wao washaanza kufarakana mpaka na Ma General wao wamekuwa na Presha.

Hatakama ila Ukrain ina stail kupongezwa.

Vonskey anahitaji kupongezwa kwa level yake dhidi ya Rusia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
source za kwa mpalange wa magharibi,ukraine imebaki magofu endelea ku watch west media
 
Hitler hakuangalia raia, alifumua wote raia wanajeshi, urusi angekuwa kama Hitler Ukrain ingekaa Siku mbili tu.
Hata putin naye alisema siku 2 atafunga mahesabu lakini mpaka leo hana kitu yeye ndiye anafunga virago taratibu!!
 
Acha ushamba basi! Mtu Mmoja kupambana na mataifa 29+ sio jambo la kawaida. Putin ni mbabe aisee
Ukraine kama sio kupewa misaada ya vifaa, silaha, fedha na askari sasa hivi ingekuwa habari nyingine
Anayejinasibu kuwa Super Power mpaka leo anahangaika na Ukreine tu je akipambana na wababe wenzie si watamvua chupi asubuhi mapema tu!!!!
 
Dogo sikiliza hii clip ya miaka 8 iliyopita, usipende kuongea kwa mihemko
 
Anayejinasibu kuwa Super Power mpaka leo anahangaika na Ukreine tu je akipambana na wababe wenzie si watamvua chupi asubuhi mapema tu!!!!
Putin ni mbabe ingelikuwa wewe Putin na hii comment yako ingekuwa umeshasurrender kwa Ukraine. Putin yupo pekeake hana msaada kutoka taifa lolote na bado hajaondoka uwanja wa vita anaendelea kupambana
 
Back
Top Bottom