Mchekeshaji alivyomuhadaa mbabe wa vita Putin

Vita inapiganwa ndani ya Ukraine hafu anapigwa mrusi acha ushabiki wa kwenye vijiwe vya kahawa
 
 
Hakuna operation mbaya kama kuvamia nchi ya watu hata kama ni ndogo huwa ni balaa kama utakuta watu wake wanamshikamano. Ndio maana beberu akitaka kuvamia anawachonganisha mnagawika kisha anaingia, hii operation Russia hawezi kushinda labda aingamize ukraine yote na si vinginevyo. Uzalendo uliokomaa ni zaidi ya silaha zote na wingi wa majeshi, watu wakiamua kusimama kupigania nchi yao kwa jasho na damu huwawezi watu watambue hilo, ukraine ulitolewa wito wa kulinda na kupigania uhuru na heshima ya nchi yao hupiti kizembe maana nchi nzima inakuwa vitani
 
Si warushe sasa wanalialia nini,,,,,,,mnajifariji halafu mwisho wa siku mnalia kuonewa huruma........we tuma tu .......kufika mwisho hadi mrusi amalize yake ukraine hata miaka 20 ijayo ngoma itambae tu
 
Si warushe sasa wanalialia nini,,,,,,,mnajifariji halafu mwisho wa siku mnalia kuonewa huruma........we tuma tu .......kufika mwisho hadi mrusi amalize yake ukraine hata miaka 20 ijayo ngoma itambae tu
Ooops kumbe nabishana na layman,.
have a good day bro.
 
Mabeberu washaanza kumsaliti COMMEDIAN wao uko[emoji4][emoji116]
 
N muda unavyozidi kwenda ndio vita huwa vinakuwa vigumu zaidi,refer USA Iraq na Afghan,vita ilikuwa ngumu kadri muda ulivyokuwa unaenda na walikuwa wanapoteza wanajeshi wengi zaidi.
Russia sasa hivi wame opt kutumia mercenaries kuishambulia Kyiv wameona hii ngoma ngumu..
 
Russia kutumia ballastic missile haikuwa planned fire support ndio maana mabomu mengi yamelipua makazi ya watu hapa Russia kachemka, ipo hivi vikundi hasimu vinaweza kuwa vinapambana kwa umbali flani hivyo silaha za msaada zinaweza kutumika ila kupata control na kusonga mbele, watu wengi wanakalili sana ila uwezo wa medani hapa Russia amedebweda mpaka propaganda au media war amezidiwa sana
 
Wanazuoni wansema Putin ali under estimate reaction ya NATO na West,hakutegemea wangempa support kubwa namna hii Zelensky,alitegemea akipiga mkwara basi west wataogopa kuipa support Ukraine,ikawa tofauti kabisa wanampa hela na silaha za kutosha,na pia hakutegemea sanctions zitakuwa kali kiasi hiki,hata Russia ndani kwenyewe kuna watuwazito wanaanza kutilia mashaka future ya russia kama wakiendelea kutengwa na West.
 
Ya nini akaumize nguvu kazi yake,Ilhali ana mbadala wakumwadhibu nyoka akiwa angani.
 
Mabeberu wameondelea kuwa bora kwenye medani za ujasusi na hujuma, na kwa sasa yanajianda kumuadhibu zaidi putin na serikalii yake, kinachowapa nguvu mabeberu ni power diversification ndio maana mikwara yote lakini wameendelea kutoa support
 
Putin ni kama Hitler tu wala haangalii raia hata yeye.
Hitler hakuangalia raia, alifumua wote raia wanajeshi, urusi angekuwa kama Hitler Ukrain ingekaa Siku mbili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…