Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sijawahi kuwa mchagaWachaga wanaofia Dar, ni kama asilimia mbili tu, huzikwa Dar, wengi husafirishwa kwenda kuzikwa kwao.
Team ya mizengwe acha tu ;one the best if not the best tasnia ya maigizo.Mizengwe itakuaje tena
Dah, mzee alikuwa na kash kash kweli, R.I.P!
Huyo mwenye tshirt nyeusi
Jamaa hawatumii nguvu wala makelele kuchekeshaDah, RIP. Pigo sana kwa kundi lile. Hawa jamaa ndio comedians ninaowakubali na kuwaangalia kila jpili.
Na visa vyao vina mafunzoJamaa hawatumii nguvu wala makelele kuchekesha
Na visa vyao vina mafunzoJamaa hawatumii nguvu wala makelele kuchekesha