Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Tanzania ni nchi safi sana ya kuishi, sijuwi kama tungekuwa na rais kama Lissu ama Zitto hii nchi ingekuwa shamba la nani kwa kweli. Yaani tulihitaji rais mwenye maono makali kama Magufuli na mwenye kuona mbele. Mtanzania hataki kufanya kazi eti anataka serikali imsaidie, shule ni bure hataki kwenda shule anaona bora akashinde madrasa isiyo na manufaa kwake. Siku zote wazungu hawatopenda kuona Afrika inaendelea au kuwa na msimamo, watafanya chini juu kutafuta mazwazwa kama kina Lissu na Zitto wawatumie kuchafua nchi zao. Adui wa Afrika ni mwafrika mwenyewe mwenye tamaa za kijinga.

cc: Tundu Lissu
Zitto Kabwe
Dogo Mbowe
 

Watanzania tuna jambo letu na rais wetu John Pombe Joseph Magufuli

Hao kina kina Lissu na Zitto walishabalishaga makabila na utaifa mioyoni mwao.

Hao wanajikuta wazungu kuliko wale wazungu wenyewe waache waendelee kusujudia wajukuu wa Hitler na King Leopold II

 
Naye aonje maisha ya kuishi kama MASHETANI.
Huwezi kuwa mzazi halafu unawaombea mabalaa watu wa nyumbani mwako.
Nashauri watengeneze bajeti mpya, wafikirie na vyanzo vipya vya mapato

Bujibuji weee

Basi tusiombeane mabaya.... watanzania sisi ni ndugu, ninachojua kama ni kulia tutalia wote na kama ni kucheka basi tutacheka wote

Mungu ibariki Tanzania
 
This really hurts na wazungu wako kimya mpaka wakaweka soko kuu la Ulaya Brussels. Cha kushangaza Lissu na Zitto hawajali kuhusu hili, wao wanajali matumbo yao tu na their bank accounts. Yaani unakwenda kushitaki nchi yako kwa shetani, si ujinga huu? Hawa watu ni hatari sana kwa taifa letu.
 
Hii nchi tungekuwa na upendo wa aina hii Leo tungekuwa mbali mno

Haupo ndio maana tunaenda kusemeleana kwa watoa mikopo kule EU na USA

Ila usijali Bujibuji yatapita salama tuu haya. Siku sio nyingi tutaongea lugha moja na tutakua na upendo wa kweli
 

Tamaa zao zitawaangamiza, nazionea huruma familia zao watoto wao na wajukuu.. Hakuna kilichofichika ambacho hakitadhihirika
 
Tujifunze kujinenea mema. Tuwanenee watu wetu mema, tuineneee kesho yetu yale yaliyo mema.
Kauli mbaya zinaleta matokeo mabaya.
Kauli kama "MTAISHI KAMA MASHETANI" hakika hazifai.
Context, aiseee! Usidhani unaongea na waghilimishwa ubongo humu -- we are not brainwashed like you
 
Kwa jinsi tulivyomchoka na sema huyo Ni magufuli tu
 
Kweli jamaa ni mshenzi sana, hadi Ameua watu kwa mikono yake mwenyewe Dah sidhani kama hata Idi Amini aliwahi kufanya Ushenzi anaoufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…