Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Kweli jamaa ni mshenzi sana, hadi Ameua watu kwa mikono yake mwenyewe Dah sidhani kama hata Idi Amini aliwahi kufanya Ushenzi anaoufanya

Dar apakaliki Chezea mizimu ya marehemu ndukii.Ila roho hazikimbiwi hata ujifiche chini ya maji Hadi mwisho wa dahari
 
J2 unakuta limepiga magoti kanisani na camera kibao, amenifanya niichukie dini ya kikristo sn yeye na Ndugai
Kumbe weye ni mkirsto wa kusali tu siyo mkristo wa kumpenda na kumtafuta MUNGU!? Basi wachukie tu ili roho yako, nafsi yako na mwili wako vipoe!
 
J2 unakuta limepiga magoti kanisani na camera kibao, amenifanya niichukie dini ya kikristo sn yeye na Ndugai
Ukristo hauna shida kabisa ndugu yangu ila udhehebu uliopachikwa ukristo ndio wenye shida.
 
Tanzania ni nchi safi sana ya kuishi, sijuwi kama tungekuwa na rais kama Lissu ama Zitto hii nchi ingekuwa shamba la nani kwa kweli. Yaani tulihitaji rais mwenye maono makali kama Magufuli na mwenye kuona mbele. Mtanzania hataki kufanya kazi eti anataka serikali imsaidie, shule ni bure hataki kwenda shule anaona bora akashinde madrasa isiyo na manufaa kwake. Siku zote wazungu hawatopenda kuona Afrika inaendelea au kuwa na msimamo, watafanya chini juu kutafuta mazwazwa kama kina Lissu na Zitto wawatumie kuchafua nchi zao. Adui wa Afrika ni mwafrika mwenyewe mwenye tamaa za kijinga.

cc: Tundu Lissu
Zitto Kabwe
Dogo Mbowe
Madrasa, maana yake darasa, sasa. Shule haendi anaenda madrasa, madrasa nayo ni shule, lugha isikuchanganye ndugu
 
Back
Top Bottom