Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Mtu kaishavurunda balaa halafu vibaraka wake , viherehere wake , mataga , Lumumba buku saba wako bize twenti Foo awazi kusifia uendawazimu , yaani jitu linatenda kabla ya kufikiri , baadaye ndio linafikiri .
 
Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe.

Alianza kwa kuwatumia rafiki zake wa kutoka mbali tusiowajua kupoteza wadogo zake, akaenda mbali akafanya maovu makubwa, tukamsifu Sana kwamba yeye ni kidume.

Lakini Kuna ndugu walikuwa wakituasa na kutushauri kuwa huyu mtoto tunamuharibu, sisi hatukusikia, tukaendelea kupuliza filimbi na nyimbo mpya tukamtungia.

Sasa leo Vyombo vya Dola vimetukamata na kutuweka korokoroni ndipo sasa tunalia na kusaga meno.

Tunapiga magoti, tunaomba, Mungu ametuma ujumbe mfupi tu.

Mithali : Mlango 28​

16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
Rejea wakongo na Mobutu!! Walimfurahia na kumuona Mungu Ila walikuja kujuta badae. Ndo yanayotokea leo
 
This really hurts na wazungu wako kimya mpaka wakaweka soko kuu la Ulaya Brussels. Cha kushangaza Lissu na Zitto hawajali kuhusu hili, wao wanajali matumbo yao tu na their bank accounts. Yaani unakwenda kushitaki nchi yako kwa shetani, si ujinga huu? Hawa watu ni hatari sana kwa taifa letu.
Mtu hatari kwa nchi ya Tanzania ni jiwe na washirika wake, acha kuzunguka mbuyu,
 
Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe.

Alianza kwa kuwatumia rafiki zake wa kutoka mbali tusiowajua kupoteza wadogo zake, akaenda mbali akafanya maovu makubwa, tukamsifu Sana kwamba yeye ni kidume.

Lakini Kuna ndugu walikuwa wakituasa na kutushauri kuwa huyu mtoto tunamuharibu, sisi hatukusikia, tukaendelea kupuliza filimbi na nyimbo mpya tukamtungia.

Sasa leo Vyombo vya Dola vimetukamata na kutuweka korokoroni ndipo sasa tunalia na kusaga meno.

Tunapiga magoti, tunaomba, Mungu ametuma ujumbe mfupi tu.

Mithali : Mlango 28​

16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
Mwana wetu nasikia kafyeka hela ya magari kutoka 90mil mpaka 50m.
Na hakuna wa kusema fyoko fyoko
 
Back
Top Bottom