Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

Kweli jamaa ni mshenzi sana, hadi Ameua watu kwa mikono yake mwenyewe Dah sidhani kama hata Idi Amini aliwahi kufanya Ushenzi anaoufanya

Dar apakaliki Chezea mizimu ya marehemu ndukii.Ila roho hazikimbiwi hata ujifiche chini ya maji Hadi mwisho wa dahari
 
J2 unakuta limepiga magoti kanisani na camera kibao, amenifanya niichukie dini ya kikristo sn yeye na Ndugai
Kumbe weye ni mkirsto wa kusali tu siyo mkristo wa kumpenda na kumtafuta MUNGU!? Basi wachukie tu ili roho yako, nafsi yako na mwili wako vipoe!
 
J2 unakuta limepiga magoti kanisani na camera kibao, amenifanya niichukie dini ya kikristo sn yeye na Ndugai
Ukristo hauna shida kabisa ndugu yangu ila udhehebu uliopachikwa ukristo ndio wenye shida.
 
Madrasa, maana yake darasa, sasa. Shule haendi anaenda madrasa, madrasa nayo ni shule, lugha isikuchanganye ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…