Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

Acha upotoshaji, tatizo sio mechi ya simba na yanga, bali watu wamepuuza hilo zoezi la uchaguzi. Hakuna mtu mjinga tena ataenda kupoteza muda wake kupiga kura ambazo ccm ndio wanapanga nani atangazwe mshindi.

HIvyo hata wakiweka mwaka mzima watu wajiandikishe na hamasa juu, hakuna watu zaidi ya hao waliojotokeza watajitokeza tena. Na siku ya uchaguzi watu ndio watakuwa wachache zaidi.
Younga ndo nini!?... Hivi mmekunywa nini leo!?,kila anayeanzisha thread ni mwendo wa kuchapia tu..
Spelling erro
 
Wengine tushajiandikisha. Tunasubiri siku ya uchaguzi tukipe ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi. Wewe baki eti uandikishaji umebuma halafu utegemee chama chako kishinde! KUMBAVU!!!
Umeona watu hawaendiki kujiandikisha alafu badae wanasema wameibiwa kura
 
Kutokupiga kura c haki ya msingi nayo, kama sijamuona wakuja niwakilisha kati ya hao walio kua nominated, nitaenda kupiga kura kua nampigia nani
 
Hamuhitaji kura, nyie tume ya uchaguzi na vyombo vya dola ndio tegemeo lenu. Watu wajinga tu ndio watajitokeza kushiriki huo uhuni wa kuwahalalisha ccm kukaa madarakani kwa shuruti.
Ni jambo jema kwamba HAMTASHIRIKI. Hata mwaka 2019 mligomea hivi hivi na wenyeviti HALALI walipatikana na wakaa uongozini hadi muda wao umeisha! Ahahahahaha!!!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Umeona watu hawaendiki kujiandikisha alafu badae wanasema wameibiwa kura
Wajinga sana. CCM inahamasisha watu wakajiandikishe na ina maana watakaokwenda ni wale watakaoipa CCM kura. Wao wanahamasisha watu wasijiandikishe. Maana yake wanaowaunga mkono hawatajiandikisha. Baada ya uchaguzi utawasikia wanalialia wameibiwa kura. Ujinga kabisa!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo:
Hamasa imekuwa ndogo mkuu

1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali.

2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha kushangaza hata makarani nao wamefunga zoezi kinyume na sheria ,wamefunga saaa kumi na nusu badala ya kumi na mbili.

3.hamasa ndogo ya uandikishaji , ni watu wachache sana wamejitokeza kujiandikisha kwa sbb ya uwepo ndogo wa hamasa. 4. makarani kukosa uwadilifu na uwajibikaji .Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist Gabeji

Umeona watu hawaendiki kujiandikisha alafu badae wanasema wameibiwa kura
Uandikishaji wa kipumbavu sana! Hupewi hata kitambulisho? Jinga umri TU na jina? Maccm ni magaidi!
 
Ni jambo jema kwamba HAMTASHIRIKI. Hata mwaka 2019 mligomea hivi hivi na wenyeviti HALALI walipatikana na wakaa uongozini hadi muda wao umeisha! Ahahahahaha!!!
Uko sahihi, hao wenyeviti hata kuitisha mikutano ya mapato na matumizi hawathubutu.
 
Back
Top Bottom