PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maana ya KIFUA KIPANA
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wote sichezi ngoma yao,unafiki mtupu.
 
Udini tuu umekujaa mbn migodi yote ina milikiwa na wazungu umenufaika nini?...Mwafrika huna cha kumkwepa mtu mweupe awe mzungu au mwarabu au mchina kaongezeka sahv kwny ukoloni huu mamboleo lazima ujae kwny 18 zao...
Haknamtu anaejali wafanyakaziw ake kama wazungu zunguka Tanzania nzima. Wazungu wako juu sana mara mia kila kitu tungewapa wasimamie mashirika yote ajira zingeongezeka na maslahi ya watanzania yangeboreshwa.
 
Mie Nakumbuka ilikuwa kipindi cha Bashungwa na iliruhusu magari madogo,daladala na mabasi makubwa. Yale malori hayakuruhusiwa kupita. All in all barabara ya Kilwa ina jam kubwa sana,ile ilisaidia sana. Ukishashiba maharage ndiyo yanakutoka tu.
 
Unakaribia kuokota makopo ?!!

Mwarabu mwarabu mwarabuuu...ndio nini sasa ?!!
 
Chalamila hakuruhusu magari yote kupita kwenye barabara ya mwendokasi, alisema magari madogo, mabasi ya abilia na bajaji. Hili la malori kupita huko amemsingizia.

 
Ni wivu tu.

Wote wameteuliwa na Rais
 
Hajielewi waziri

Mwezi huu watu wanawahi kufuturu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…