Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

11 April 2024​

Dar es Salaam, Tanzania
(Google translator)

Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta​

Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over US$10,000) for flood victims. Hon. Mchengerwa gave the cash in bundles of notes to the head of the Rufiji district in front of the tens of people who attended the event, to show solidarity with the flood victims of the area of Rufiji Delta in Tanzania .



In support of Hon. Mchengerwa who is also a minister of State president office in charge of Local government and regional administration in the government of the United Republic of Tanzania, the youth Wing of the ruling party CCM known as UV-CCM national leadership has handed over other donations in the likes of cooking oil, dry beans, cereals and maize flour


View: https://m.youtube.com/watch?v=2F3ASLW3sPY
 
This act of May 18, 1933, created the Tennessee Valley Authority to oversee the construction of dams to control flooding.
 
Mkwe wa Rais lazima ana backup, na pesa itarudi Tu hiyo maana bila kufanya hivyo Ubunge wake wa 2025 utakuwa mgumu Sana unless asuburie ubunge wa kuteuliwa kutoka kwa mama mkwe wake Sa100
 
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko


View: https://m.youtube.com/watch?v=OKihl7VTaHg

Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine

Hatudanganyiki.
41 Kisha Yesu akaketi karibu na sehemu ya kutolea sadaka Hekaluni akawaangalia watu walivyokuwa wakiweka sadaka zao kwenye chombo cha sadaka. Matajiri wengi waliweka humo kiasi kikubwa cha fedha. 42 Lakini mjane mmoja fukara, alikuja akaweka sarafu mbili zenye thamani ya senti kumi.


43 Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia, “Ninawaambia hakika, huyu mjane ametoa zaidi kuliko wote! 44 Wengine wote wametoa kutokana na ziada ya mali zao; lakini huyu mama ingawa ni fukara, ameweka kila kitu alichokuwa nacho, hata na kile alicho hitaji kwa ajili ya riziki yake.”
 
Aisee kwenye hii nchi wanasiasa mnafaidi keki ya Taifa. Kirahisi tu anatoa milioni 50 kutoka kwenye mshahara wake!!
 
Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko


View: https://m.youtube.com/watch?v=OKihl7VTaHg

Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine

HAWA CCM WANAKULA MPAKA WANAVIMBIWA YAANI MILION50 NI SEHEMU YA MSHAHARA WAKATI MTUMISHI WA UMMA HATA AKISITAHAFU HAPATI HIYO PESA
 
Mtu analipwa 18m kwa mwezi za ubunge na bado ni waziri unataka kusema 50m ni nyingi sana kwake?
Kwamba kwa nchi ambayo watu kupata milo mitatu ni shida na wengine hata maisha ya ukoo mzima hawawezi kupata hata robo ya pesa hio kwa mwaka mtumishi wao kulipwa 18 na ziada nyingine ya kuwa Uwaziri unaona kwamba huo sio Wizi kwa Walalahoi ? Ukizingatia nchi hio wala sio sustainable na bajeti yake inaendeshwa kwa mikopo wanayolipa hao hao Masikini....
 
Back
Top Bottom