McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi
========
Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro
"Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa serikali ya awamu ya nne, wapo waliosema ah serikali hiyo iko moja mbili tatu, ikaingia serikali ya awamu ya tano, wale wale waliosema wakakumbuka serikali ya awamu ya nne."
Nataka niwaambie, ipo siku mtamkumbuka mama huyu kwa kazi kubwa anayoifanya na uzalendo alionao kwa taifa hili. Tutamkumbuka."
"Kama leo Kilimanjaro mlimpokea... hapa Kilimanjaro mmepokea trilioni 1.57 miaka mitano ya Rais Samia. Miaka 30 iliyopita mlimpokea bilioni 200 na karibu 70. Kwa nini msimkumbuke Rais Samia?"
"Ipo siku tutamkumbuka. Atakapomaliza muda wake, Watanzania watamkumbuka Mwenyekiti. Nakwambia hili, lishike, utaniambia. Tutamkumbuka."