Mchengerwa: Ipo siku Watanzania mtamkumbuka Rais Samia

Tumepokea. ??

Hey man those are our fuvking taxes

And you are mismanaging them we have to get more than that

Tanzanians needs to be educated about their rights more than anything

You are not helping us ccm

You have lot to explain to us
Dah! Mkongwe upo? Longtime no see
 
Wakuu,

Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi

========

Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro

"Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa serikali ya awamu ya nne, wapo waliosema ah serikali hiyo iko moja mbili tatu, ikaingia serikali ya awamu ya tano, wale wale waliosema wakakumbuka serikali ya awamu ya nne."

Nataka niwaambie, ipo siku mtamkumbuka mama huyu kwa kazi kubwa anayoifanya na uzalendo alionao kwa taifa hili. Tutamkumbuka."

"Kama leo Kilimanjaro mlimpokea... hapa Kilimanjaro mmepokea trilioni 1.57 miaka mitano ya Rais Samia. Miaka 30 iliyopita mlimpokea bilioni 200 na karibu 70. Kwa nini msimkumbuke Rais Samia?"

"Ipo siku tutamkumbuka. Atakapomaliza muda wake, Watanzania watamkumbuka Mwenyekiti. Nakwambia hili, lishike, utaniambia. Tutamkumbuka."

Na huyu ni eti ni waziri.
Hajui kima cha chini mshahara ulikuwa tshs 180= leo i takriban tsh 700000=
Kufanya comparison ya fedha zilizo pelekwa miaka hamsini iliyopita na za sasa ni umbumbu wa elimu ya uchumi.
Haongelei na nadhani hajui maana ya 'value for money '
Narudia huyu mkwe wa Samia ni waziri.
 
Huu upuuzi wa kusema Rais katoa, Rais kapeleka ufike mwisho.

Samia na genge lake watakumbukwa kwa MAUAJI YA HALAIKI.
 
Kuna mtu amebisha kwamba hata kumbuka? Hata sasa tungali tunakumbuka yale mauaji yaliyohusisha aliyekuwepo na asiyekuwepo mitandao imezimwa huku TBC wakionyesha wanavyohesabu kura ambazo hazipo boshen
 
Atakumbukwa kwa kukumbatia majitu ya hovyo kama hilo limchengerwa
 
Wakuu,

Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi

========

Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro

"Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa serikali ya awamu ya nne, wapo waliosema ah serikali hiyo iko moja mbili tatu, ikaingia serikali ya awamu ya tano, wale wale waliosema wakakumbuka serikali ya awamu ya nne."

Nataka niwaambie, ipo siku mtamkumbuka mama huyu kwa kazi kubwa anayoifanya na uzalendo alionao kwa taifa hili. Tutamkumbuka."

"Kama leo Kilimanjaro mlimpokea... hapa Kilimanjaro mmepokea trilioni 1.57 miaka mitano ya Rais Samia. Miaka 30 iliyopita mlimpokea bilioni 200 na karibu 70. Kwa nini msimkumbuke Rais Samia?"

"Ipo siku tutamkumbuka. Atakapomaliza muda wake, Watanzania watamkumbuka Mwenyekiti. Nakwambia hili, lishike, utaniambia. Tutamkumbuka."

Atakumbukwa kwa Okt 29
 
Tutamkumbuka kwa mauaji ya October 29. Na ufisadi uliovunja reckoning zote.
 
Back
Top Bottom