Mchengerwa: Ipo siku Watanzania mtamkumbuka Rais Samia

KWANINI TUSIMKUMBUKE NA WAKATI KAUA WATANGANYIKA ZAIDI YA ELFU 10
 
Nikweli tutamkumbuka kwa mabaya ikiwemo mauaji ya 29. Ujinga ni mwingi sana huyu bibi. Na kuuuza bandari yetu.
 
Labda tutamkumbuka kuwa kuliwahi kutokea rais akawapa teuzi mkwe,mtoto,mjukuu, na marafiki zake pasipokuzingatia uwezo wao.pia atakumbukwa kwa kuuza bandari za tanganyika hovyo kama anavyokumbukwa chief mangungo kwa kuuza maeeneo hovyo kwa wazungu.
 
Shetani hatujawahi kumuona ila tunamkumbuka kila siku sembuse huyo shapeless anayeonekana
 
Lazima akumbukwe ,sasa hapo kwenye kukumbukwa kwenye nini ndio mtihani
 

Mke Umepewa,,Cheo Umepewa...!!
Nadhani Kumbukumbu Nzuri Atakuwa Nazo Yeye,,Asitujumuishe...
​
 
Kumkumbuka siyo hoja,je atakumbukwa kwa kipi? Mauaji ya halaiki!!
 
Wale wazazi ambao watoto wao walipigwa risasi kwenye banda la mpira wataachaje mkumbuka bi msumi kwa kilichotokea october 29
 
Tutamkumbuka kweli kwa kutuua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…