Mchengerwa: Ipo siku Watanzania mtamkumbuka Rais Samia


Kuna siku shetani naye atajitokeza na kuanza kuwatishia watu kwamba siku moja watamkumbuka.
 
Mkweeeeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭🚭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🚭🚭🚭🚭🚭 labda kizimkazii
Lkn najua hata wao na wewe huto hata kihisia
 

Hatuwezi kumsahau kwa mauaji yake na utekaji
 
Tutamkumbuka kwa mauaji, hizo pesa si zake ni zetu. Akawaambie wajinga huko mkuranga ndio wanadhani ni pesa za rais.
 
Sawa KIFUA KIPANA ,mkweee!
 
Ndio maana Kuna sisi wengine tunampa maua yake Sasa hivi kabla hajatoka.

Kwa historia ya utendaji wa Viongozi wa Bara sîoshangaa hili likitokea Kwa sababu tofauti ya Samia na going wa Bara ni mdogo ,Wa Bara Huwa na mdomo sana ila matokeo kwenye ground hakuna Cha maana anzia kina Nyerere Hadi Magufuli
 
Lazima tumkumbuke kama Raisi Muuwaji wa Watanganyika mnamo MO29!
 
Ni kweli matukio ya kukumbukwa ni mengi sana toka utawala huu.

Na kila mwenye akili timamu lazima aweke kumbukumbu tu
 
Hata uone aibu kidogo tu. Unamlinganisha Nyerere na vitu gani
 
Ndiyo atakumbukwa kwa kumteua mkweee mwenye kifua kipana na mkewe kuwa mawaziri hata aibu Hana?
Atakumbukwa kubambikia watu case , mauaji ya October 29 nk
 
Sio kosa lako, ni tatizo la umri huenda na dini (chuki)

Nikikuelemisha tuliyoyaona ya Nyerere sio kuambiwa wala kusoma vitabuni, utajiona juha wa mfano.
 
Yupo wapi balozi polepole?
Yupo wapi Ally Kibao?
Wapo wapi dugu zetu mliowauwa na kuwazila kwenye makaburi ya halaiki kule kondo?
Haya ndiyo mambo ya msingi alifanya Samia???
Kutujazia mapolisi Kila mahali kama tupo sudani ya kusini???
 

Your browser is not able to display this video.

Turamkumbuka sana kwa haya👆🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…