Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzidi nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakuridhisha Zaidi kimapenzi?
 
Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni wa thamani kuliko yeye.

Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.

Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.

Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.

Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
 
Hiyo inwezekana vp?

Typical mwanaume akichepuka na mke wa mtu hana mda wa kuuliza hayo maswali

Typical mwanaume akiisaliti ndo yake Kwa kutembea na mchepuko hamrusuh huyo mchepuko kuizungumzia familia yake iwe Kwa mazuri au mabaya
 
Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.

[emoji1666]
 
Nahis wew sio mzoefu wa michepuko,au huna michepuko kabsa
 
Hiyo inwezekana vp?

Typical mwanaume akichepuka na mke wa mtu hana mda wa kuuliza hayo maswali

Typical mwanaume akiisaliti ndo yake Kwa kutembea na mchepuko hamrusuh huyo mchepuko kuizungumzia familia yake iwe Kwa mazuri au mabaya
Huwa wanauliza mkuu,ikitokea mmepata muda mrefu wa kukaa nae na kupga stor nae,lazma akuulize
 
Naenda ndio, mwanamke kuna mbinu ya kumshawishi ili asiwe na wivu.
Utambembelezaje akakuelewa ? Na mwanamke anambembelezwagwa kwa njia moja tu ya kumwambia yeye Ni mzuri kuliko wanawake wote Duniani!! Yaan lazma umwambie kuwa yeye Ni mzuri kuzd mkeo ndo atakuelewa!!!
 
Duh.. mkuu bado unabembeleza wanawake mpaka leo? Hujaona matokeo ya sensa??😄

Mwanamke yoyote akishaanza kukuuliza maswali ya hovyo hovyo kama hayo ujue huyo hakufai na haijui nafasi yake kama mchepuko! Huyo mwache akatafute mume we kamata mwingime mzuri zaidi yake uendeleze gegedo.
 
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?

Mwambie ajue kwanza yupo na nani alafu ajitahidi asivuke mipaka yake.

ajue mipaka yake. asilete dharau kwa wife wala kutaka mfanano nae
 
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzid nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakurisha Zaid kimapenz?
Akikuuliza sifa unampa yeye ila moyoni ukijua hizo sifa ni za mkeo, na siku akianza tu kujiona keki unampiga chini
 
Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni thamani kuliko yeye.

Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.

Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.

Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.

Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
Point!
 
Back
Top Bottom