Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni wa thamani kuliko yeye.
Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.
Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.
Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.
Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.