Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

Mchepuko akikuuliza maswali yafuatayo kuhusu mmeo au mkeo unatakiwa umjibuje?

Kama hamzid mkeo au mmeo kwake umefata nin?? Au kwanin unapeana nae mapenz Kama hamfkii mme au mkeo? Hebu fafanua hapa
Unamwambia ni kwa mujibu wa matokeo ya sensa
Kama hamzid mkeo au mmeo kwake umefata nin?? Au kwanin unapeana nae mapenz Kama hamfkii mme au mkeo? Hebu fafanua hapa
Nawe una muuliza ina maana hajasikia matokeo ya sensa? Akisema bado mwambie afuatilie matokeo kwanza halafu ndo aje kuuliza hilo swali
 
Nitamdanganya yeye mchepuko Ni Bora Sana Mara Mia,ili niendelee nimuibie vizuri
Hakuna sababu ya kumuongelea mke/mume ukiwa na mchepuko, nafasi ya mke/mume hailinganishwi wala kujadiliwa popote.
 
Principle ya pale Ni wote mnaibiana tu,we mwanamke ikitokea umepigwa mimba je huon kuwa itakuwa imekula kwako?
Imekula kwake kupata mimba?Amepata faida unasema imekula kwake?Huwa huoni wasiopata mimba wanavyolalamika?
 
We mkuu umesahau nin ? Maana mkiwa mnakulana Kuna stor znakujaga tu from no where,na lazma ukiulizwa utajibu tu!! Nguvu ya mbususu ni kubwa kuliko unavyozani
Usiwe unawaza stori zinakuja tu.Kuwa makini kila wakati katika uongeaji wako.Usijiachieachie tu.Akijua una udhaifu kwenye kuongea atakuumiza.
 
Hiv unaweza ukaniambia Kat ya michepuko na wake za watu nan anapendeza Zaid kwa nguo za gharama??? Jibu Ni kuwa michepuko ndo inayoongoza kupendeza na kuvaa nguo za gharama kuliko wake za watu!! Sasa Kama michepuko huwa inapata hela za chenji imewezaje kupendeza kuliko huyo mkeo unaempa pesa nying ??? Pia jaribu kufuatilia watoto wa michepuko ndo wanaongoza kusoma shule nzuri
Sasa huo si uzuzu kumpendelea mchepuko kuliko nyumba kuu mtu mnayefight naye.
Binafsi namchukulia mchepuko kwa heshima ya sexual partner na si zaidi.
Na akianza kuuliza hayo maswali inan aaa anataka kujiupgrade kitu ambacho si sahihi.
 
Umeeleza vzur Sana mkuu,mmepata SoMo,ingawa maoni yako hayawez kufany Kaz kwa wanaume wengi au wanawake wengi,yaan ni wachache Sana wanaoweza kuwa na hayo mawazo!!!! Kuna jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu,Mara nying Sana huyo jamaa alikuwa analetewa zawad nying Sana na yule mwanamke,pia ailikuwa anaambiwa nakupenda kuliko mme wangu
Mkuu hata mimi michepuko yangu hua naiambia kwamba naipenda, ila wote hapa tunajua kwamba siipendi wala nini. Hiyo ni lugha tuu ya mchezo

Kuhusu mawazo yangu ku apply kwa wanaume wachache inawezekana ni kweli maana hata hivyo ktk jamii watu wajanja hua ni wachache kuliko wajinga wajinga.
 
Mkuu hata mimi michepuko yangu hua naiambia kwamba naipenda, ila wote hapa tunajua kwamba siipendi wala nini. Hiyo ni lugha tuu ya mchezo

Kuhusu mawazo yangu ku apply kwa wanaume wachache inawezekana ni kweli maana hata hivyo ktk jamii watu wajanja hua ni wachache kuliko wajinga wajinga.
True
 
Sasa huo si uzuzu kumpendelea mchepuko kuliko nyumba kuu mtu mnayefight naye.
Binafsi namchukulia mchepuko kwa heshima ya sexual partner na si zaidi.
Na akianza kuuliza hayo maswali inan aaa anataka kujiupgrade kitu ambacho si sahihi.
Kumbuka kuwa mbususu za michepuko zna nguvu kubwa mno kuliko unavyozani, yaan Kama unakula mbususu ya mchepuko ni lazma tu uwe zezeta wakat unakula mbususu yake!!!
 
Mkuu sijui kama wewe ni mwanaume au mwanamke, ila inaelekea kuna vitu huvielewi kuhusu sisi wanaume.

1. Unachanganya swala la KUPENDA na NGONO. Mchepuko hua HAPENDWI, yule ni kitulizo tu cha TAMAA zetu za kimwili. Ndio maana ni nadra sana kukuta mwanaume anaacha mke na KUOA mchepuko (japo exceptions zipo).

2. Unachanganya kati ya KUMUAMBIA mwanamke kwamba unampenda, na KUMPENDA. Kumuambia mchepuko kwamba unampenda haimaanishi kwamba ni kweli unampenda, unamwambia hivyo ili kunogesha tendo tuu maana ungekua unampenda kweli ungemuacha mkeo umuoe yeye.

3. Unachanganya kati ya KUMHUDUMIA mwanamke na KUMPENDA. Mkuu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa! Mchepuko anahudumiwa kwasababu ITS BUSINESS. Yeye anakupa huduma, wewe unamjali. Ndio maana hata wamama wanaotoka na viserengeti boys wanavihudumia pia, haimaanishi wanavipenda, hell NO!

4. Una GENERALIZE kwamba wanaume wote tunahonga na kubembeleza michepuko simply kwasababu kuna KABILA moja ulilotaja ambalo wakivuna wanahonga. Mkuu, Tanzania tupo wanaume 30milion. Katika hao usitegemee kukosa WAJINGA WAJINGA kadhaa ambao wanashikwa masikio, that doesnt mean WOTE tuko hivyo!

5. Mwanamke yeyote MJANJA anapotoka na mume wa mtu, cha kwanza ni kuhakikisha ANALINDA ndoa ya huyo mume wa mtu. Hii itamsaidia yeye kuendelea ku enjoy benefits za kuwa mchepuko kama vile kuhudumiwa nk. Wanawake wajanja wengi hawapendi kuvunja ndoa za michepuko yao maana wao wenyewe hawataki kuolewa na hiyo michepuko! Wanajua wakishaolewa na wao watageuzwa mke na kutafutiwa michepuko ambako huduma zitahamia huko! Ukiona mwanamke anakulazimisha uachane na mkeo, au anajilinganisha na mkeo, ujue huyo ama HANA AKILI, au haelewi hii gemu inavyochezwa (labda ni katoto bado).

6. Sio kila mwanaume ameumbwa kuchepuka. Wewe ukijiona una roho ya KUPENDA PENDA, huruma, kubembeleza sana nk achana na swala la michepuko tulia na mkeo. Kuchepuka ni sayansi na sanaa ya ku balansi kati ya UPENDO na UBANDIDU yaani mguu ndani mguu nje na kuwa tayari kubwaga manyanga at anytime with no hard feelings.



Namba 5 [emoji115] nakazia.

Sema ni wale michepuko matured na wenye akili na moyo Safi na wenye financial freedom ndio huweza kufanya hivyo lakini majority ni wajinga, wapumbavu, wahalifu, vivuruge, waovu wakubwa wavunja unyumba wa watu kitu kibaya sana chenye laana na malipo.

Mungu mwenyewe anachukia kuachana ijapokuwa hajakataza kuachana , fikiria wewe mwanamke mchepuko unayesababisha wanandoa kuachana Na kuroga kwako unazani unabaki salama? Fahamu kuwa Mungu amesisitiza kuwa anachukia kuachana akiangalia alosababisha ni nani mchepuko fulani ndugu utavuna ulichopanda [emoji108]
 
Sharti la kwanza...Mchepuko anatakiwa kujua mkeo/mumeo ni wa thamani kuliko yeye.

Pili, mkeo/mumeo Hana madhaifu yeyote ni basi tu wewe shetani kakupitia na umekubali akupitie ndio maana upo nae.

Tatu, ya nyumbani kwako, watoto na mke/mume hayamuhusu, akipata muda wa kuwa na wewe autumie vizuri na wewe maswali apeleke mahakamani.

Nne, Atambue hataweza kukutenganisha na mke/mumeo.

Tano, asijaribu Kwa namna yeyote kufanya chokochoko Kwa mke/mumeo maana mahusiano yenu ndio yataishia hapo na utamkana mara tatu kabla jogoo hajawika.
Mkuu! Nimependa sharti la Tano.
 
Kuchepuka Ni vibaya,pia ni dhambi,Hilo nalijua mkuu,ila kwa vile binadam tumeumbwa na madhaifu ndo tunajikutaga tunafanya hivyo mkuu
Sijafika level hiyo ya kuanza kuhoji eti mie na mkeo unampenda nani zaidi[emoji23],

Wakati najua kuwa anampenda mkewe zaidi ndiyo maana kamuoa/ndoa,
 
Mchepuko mwenye akili lazma amuulize kuhusu familia yako
Ukishajua kuhusu family ya mchepuko itakusaidia nini??

Mwanaume mpumbavu tu ndiye mwenye huo muda wa kukaa na mchepuko kuanza kuongelea family yake.
 
Mchepuko hakuwai kuwa Bora kuliko mkewangu,alitaka kujua kichaa changu basi aanze ujinga kuhusu mkewangu
 
Habarini za asubuhi wadau wa jukwaa hili! Bila Shaka weng wenu Ni wazma, wenye changamoto pia nawapa pole.

Nisiwapotezee muda niende kwenye mada:

Bila Shaka wazoefu wa michepuko mshawahi kukutana na maswali mengi Sana kutoka kwa mchepuko wako yanayohusu familia yako wakiwemo mke na watoto. Pia Kama mnavyojua kwa sis wanaume michepuko huwa tunaibembeleza Sana na huonesha Waz kuwa tunaipenda kuliko wake zetu.

Mchepuko akikuuliza maswali haya utamjibu nn?

• Namzidi nini mkeo au mmeo mpaka umeamua kunipenda?
•Kati ya mimi na mmeo au mkeo Nani anakuridhisha Zaidi kimapenzi?

1. Tamaa zangu tu zimezidi
2. Nafuata tamaa zangu tu.

Ukimjibu hivyo, hatarudia kukuuliza tena maswali ya kiwaki kama hayo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom